Ukienda beach uhondo bwerere....!

Ukienda beach uhondo bwerere....!

Ukitimba pale south beach jumapili lazima uenjoy! mm huwa nina attendance nzuri kidogo pale kwa ajili ya hii kitu. Ni kama unakula mdudu ukishushia na grant. Noma aiseee.
 
attachment.php

Kweli beach kuna mambo!
 
Hawa wako biashara ziadi na hizo nywele za bandia haogi mtu.
 
Jamaa kule back yard mbona kama amemnanihi mtu..............miguu iko juu
 
mh mbona ni ''mibongebongenyanya'' hivi....lol

Kweli binadamu tunatofautiana, yaani mimi vimbau mbau hata mzee down hashituki, ila kwa hii mibonge, naweze kabidhi kadi ya benki. Sijui lile shindano la bantu figure liliishia wapi, nyie bakini na Lundenga wenu
 
Yeyote kati yao akikusukuma tu.............
 
Mh!!!!!!!!!! Walikuwa kibeach zaidi hope stress ziliwaisha as people say maji ya bahari yanaondoa usongo...
 
Unaishia kula kwa machoooooooooo!!!!!!
 
Back
Top Bottom