Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,185
Kuna michepuko inajielewa mpaka balaa.Anajua kuwa una mke na unampenda na yy anathamin hilo na anasaidia kulienz ili asikuvuruge muendelee na maisha ya mpango wa kando.
Nimeshawah kukutana na scenario moja, mchepuko unamkopesha jamaa ake hela kuendeleza mapambano ya maisha.Nakumbuka jamaa alikua anapaswa kumuhamisha first born wake shule (hz shule za yes..no..).sasa kwakua ilikua ni transfer ya ghafla na jamaa anahitaj kama 1.5m na hakua nayo on time so akawa busy sana kupambana kias kwamba mchepuko ukawekwa pending kwanza.Kuona hivyo dem akamtafuta mchiz kuuliza vp mbona kimya, jamaa akamueleza sababu (hakua na mazoea kabisaa ya kuomba financial asaistance yoyote toka kwa huyu manzi ingawa anajiweza tu).
Fasta tu tu hata bila kuomba jamaa akatumiwa fund akaombwa airejeshe ndan ya 5 months)
Sishabikii , lakin aisee kuna watu wanaishi na michepuko kwa utulivu sana.Mchepuko unajipa jukumu la kuhakikisha jamaa ana utulivu muda wote.
NILISHANGAA SANA