Hakika ni mateso bila ya chuki kuwa na mchepuko.
Simi isiite,
Meseji isiingie.
Presha juu juu.
Yaani hakuna hata raha ya maisha kwakweli.
Simu ikiita usiku, ukaipokelee bafuni tena mke akiwa amelala usingizi wa pono.
Hakuna kuweka mlio kwenye simu.
Nimebaki njia kuu sina presha tena.
Simu inamuito.
Meseji ikiingia mke wangu ananisomea.
Zile kuzima simu ukienda kuoga hakuna tena.
Yaani naishi maisha ya raha na amani tele.
Mwisho wa siku, hakuna nilichoambulia kutoka kwa michepuko zaidi ya kupoteza muda na hela zangu
Dah sikutegemea kama mtu mzima nusuhela utakuwa na akili namna hii.
Unajua mkimpinga Mungu huwa nawachukulia kama wapuuzi ambao mmechanganyikiwa akili zimeruka.
Ila kumbe wakati mwimgine mnafikira vitu vya msimgi sana kama hivi.
Big up sana kiongozi.
Huo ndo uanaume.
Mwanaume ili aone ndoa tamu,muhimu na ina heshima kwake basi asichepuke.
Akichepuka anaweza kuona ndoa ina mzingua tu,inampotezea time na anamuona mkewe kama kinyago tu hana hisia nae kabisa.
Lakini ukiwa na mkeo umetulia lazima umuone mtamu tu kwa sababu hupatwi kwingine kokote ila kwake yeye tu.
Na hiyo ndo necha ya viumbe ambayo wanaume hawajaigundua,hii siri inafanya ndoa iimarike hasa kama mtu mkewe ni mtu mwenye busara sio mkorofi.
NB : hakuna mtu anapata raha ya kudumu na mchepuko,bali raha yake ni ule wakati anakupa mapenzi.kama anakupa mapenzi kwa muda WA lisaa limoja na kuonana ni kila wiki basi jua kwamba utapata raha ya lisaa limoja lakini utapata shida za wiki nzima baada ya kufanya uchepukaji.kwa sababu ukiwa hauko nae utafanya kila mbinu mke asijue,utajificha ficha n.k hizi ni tabu tu ukijumlisha na presha ya kuogopa ngoma na mimba matatizo tu.
NI WAKATI WETU WANAUME KUBADILIKA NA KUWA WANAUME KWELIIII KWELII KAMA HAPA NUSUHELA.
NUSU HELA KWA HILI NAKUPONGEZA SANA MKUU.
Lakini ni ngumu sana kuishi bila mchepuka kama huna imani ya Mungu.
Wanaoacha dhambi kwa kuogopa kuadhibiwa na Muumba wana advantage kubwa ya kutokurudi katika madhambi kuliko wasioamini Mungu.
Kwa sababu shetani atakuja siku moja stakuuliza tu"kwani unaogopa nini na wewe uko free bwsna
nusuhela ?...utashangaa unarudi kule kule.
Sikuombei hilo...