Ukibaki njia kuu unaishi kwa amani

Ukibaki njia kuu unaishi kwa amani

Mbona povu dodo mpenzi wangu tatizo nini ndoa ama!!!
kumbuka Mwanaume haachwi bali anaacha,
mke huwa anaweka kipaumbele mambo ya msingi sio kwamba hataki gari hapana ila mchepuko wenyewe upo kimaslahi tu...
KIMBWIGI WEWE


Ndio unavyojidanganya kuwa mkeo hataki gari?

Sema huna hata uwezo wa kumnunulia gari mkeo mbwa wewe...na ikitokea akampata wa kumpa gari unaachwa chap tu
 
Kwa hiyo wanawake tuliobaki tujioe au?manake michepuko mnasaidia sana katika harakati za kutupunguza maji mwilini

Kumbuka mko wachache kuliko sisi...mtufikirie basi
Daah comment yako imenifikirisha sana,nimegundua wenzetu Muslims waliona mbali sana kuwasitiri ambao wangekosa fursa.

Usijali katika hao wachache wako permanent atatokea tu
 
Kuchepuka huwa kunasababishwa na vitu vingi ikiwemo ile kubwa kuliko zote ya hulka ya wanaume kupenda kumiliki makoloni (Yaangalie maisha ya jogoo na tetea) .

Na si wote wanaochepuka hupitia kama ulivyopitia mtoa mada. Mwisho wa yote, tunakutakia heri na iwapo utajisikia kurudi kundini siku yoyote ile, basi milango iko wazi kwa ajili yako.


😂😂😂😂😂😂😂
 
Hakika ni mateso bila ya chuki kuwa na mchepuko.
Simi isiite,
Meseji isiingie.
Presha juu juu.
Yaani hakuna hata raha ya maisha kwakweli.

Simu ikiita usiku, ukaipokelee bafuni tena mke akiwa amelala usingizi wa pono.
Hakuna kuweka mlio kwenye simu.

Nimebaki njia kuu sina presha tena.
Simu inamuito.
Meseji ikiingia mke wangu ananisomea.
Zile kuzima simu ukienda kuoga hakuna tena.
Yaani naishi maisha ya raha na amani tele.

Mwisho wa siku, hakuna nilichoambulia kutoka kwa michepuko zaidi ya kupoteza muda na hela zangu
Dah...hadi ikifika 2025 ....tutasikia mengi sana..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah .... Mwanaume asiyechepuka aidha Hana msuli wa nguvu....au bajeti imebana...au ameishiwa mbinu za kuchepuka bila kukamatwa ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom