afu baada ya saa 24 warud kwa mganga unakuta ashakuwa marehemu.....utakoma kuringa!!!... if I was a boy, even for a day... Haya maneno yapo katika wimbo fulani hivi wa beyonce.
Hivi kama wewe, ukibadilishwa jinsia, kwa masaa 24 tu, siku hiyo utafanya nini?
Aisee binafsi siku hiyo nitakuwa mwenye hasira na nitalala siku nzima, simu nitazima kuepuka kutongozwa....
Tena unakuta mganga kafa na yeye tayari alishabadilishwa jinsia, itabidi uwahi dukani kununua pad...tehe tehe aaaaaaaaaaaaaaaa kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiafu baada ya saa 24 warud kwa mganga unakuta ashakuwa marehemu.....utakoma kuringa!!!
yani utamuoa rr halafu mm niwe mpango wako wa nje au?ntamuoa rr
paka mweusi ntamfanya awe mweupe
ntampeleka teamo na bgrta shpng(cz ntakuwa na MAHELA KM WAO)
ntamfanya mama bg amrudie fnest..
EE BWANA MI NIKIWA MWANAUME KWA DK 5 TU NTAWAFATA WALE VDUME WOOOTE WALIO NYANYASA WAKE ZAO AU WANAODHARAU WAKIKE NA KUWAFANYA KITU MBAYA
km allimpa mimba demu then akamkimbia atantambua....km ana mademu nje pia ataisoma namba...km hajali watoto na anajali vmada nje pia atantambua...yan nina machungu na wanaume magume gume...!!!!
mimi naomba tu niwe mwanaume siku fulani fulani tu hivi za mwezi..... Basi..
otherwise sitaki kuwa mwanaume....kabisa...
ha ha ha ha hizo siku nilishawahi kusikia mwingine naye anasema hivyo
ha ha ha ha hizo siku nilishawahi kusikia mwingine naye anasema hivyo
"KAMA HAUNIPENDI JUA HAUNIPENDI HAIWEZEKANI WEE DAILY UNANIZINGUA"
kwa kweli nini tena kulikoni??
upi huo mtu wangu maana zilikuwa nyingi ...Umesahau ule wimbo tena
upi huo mtu wangu maana zilikuwa nyingi ...
Nitakukumbusha usijali
Nitakukumbusha usijali
vipi ile chatroom mpya imeenda wapi??