Ukibadilishwa jinsia kwa saa 24, utafanya nini?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
... if I was a boy, even for a day... Haya maneno yapo katika wimbo fulani hivi wa beyonce.

Hivi kama wewe, ukibadilishwa jinsia, kwa masaa 24 tu, siku hiyo utafanya nini?

Aisee binafsi siku hiyo nitakuwa mwenye hasira na nitalala siku nzima, simu nitazima kuepuka kutongozwa....
 
afu baada ya saa 24 warud kwa mganga unakuta ashakuwa marehemu.....utakoma kuringa!!!
 
ntamuoa rr
paka mweusi ntamfanya awe mweupe
ntampeleka teamo na bgrta shpng(cz ntakuwa na MAHELA KM WAO)
ntamfanya mama bg amrudie fnest..
EE BWANA MI NIKIWA MWANAUME KWA DK 5 TU NTAWAFATA WALE VDUME WOOOTE WALIO NYANYASA WAKE ZAO AU WANAODHARAU WAKIKE NA KUWAFANYA KITU MBAYA
km allimpa mimba demu then akamkimbia atantambua....km ana mademu nje pia ataisoma namba...km hajali watoto na anajali vmada nje pia atantambua...yan nina machungu na wanaume magume gume...!!!!
 
Tena unakuta mganga kafa na yeye tayari alishabadilishwa jinsia, itabidi uwahi dukani kununua pad...tehe tehe aaaaaaaaaaaaaaaa kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
daaah!wala siwezi kufikiria niko ktk hiyo hali ya jinsia nyingine.duuu!naona kama tusi vile
 
ntamuoa rr
paka mweusi ntamfanya awe mweupe
ntampeleka teamo na bgrta shpng(cz ntakuwa na MAHELA KM WAO)
ntamfanya mama bg amrudie fnest..
EE BWANA MI NIKIWA MWANAUME KWA DK 5 TU NTAWAFATA WALE VDUME WOOOTE WALIO NYANYASA WAKE ZAO AU WANAODHARAU WAKIKE NA KUWAFANYA KITU MBAYA
km allimpa mimba demu then akamkimbia atantambua....km ana mademu nje pia ataisoma namba...km hajali watoto na anajali vmada nje pia atantambua...yan nina machungu na wanaume magume gume...!!!!
yani utamuoa rr halafu mm niwe mpango wako wa nje au?
 
Nitasali hayo masaa yote 24 nirudi kuwa mwanamke. Duh! Yaani niwe...? Mhh! No.
 
mimi naomba tu niwe mwanaume siku fulani fulani tu hivi za mwezi..... basi..
otherwise sitaki kuwa mwanaume....kabisa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom