Ukibadilishwa jinsia kwa saa 24, utafanya nini?

Dah!! Sijui iko wapi ila na mimi najitahidi kuitafuta lakini najua bado haijapelekwa kule kwenye lile jukwaa

ahhh ok
na mama mwenye nyumba ndo simwonagi kabisa siku hizi...
ndo kashafunga harusi na BE nini ..
halafi sisi ndo tumeachwa gizani..lol
 
Kimtokacho mtu ndicho kilicho ujaa moyo wake.
huyu mtu anatamani kuwa jinsia ambayo hana
... if I was a boy, even for a day... Haya maneno yapo katika wimbo fulani hivi wa beyonce.

Hivi kama wewe, ukibadilishwa jinsia, kwa masaa 24 tu, siku hiyo utafanya nini?

Aisee binafsi siku hiyo nitakuwa mwenye hasira na nitalala siku nzima, simu nitazima kuepuka kutongozwa....
 
Back
Top Bottom