Ukiachwa achika

Hhahahahahaaa...yaani nimeshasepa,maana issue bado mbichi kama wiki mbili zimepita,ila nashukuru nishaanza kuizoea hali ya kutokuwa naye.....ujinga ni kwenda,na siyo kurudi
mkuu naona kukaa pembeni you are still close to her, unaonaje ukiondoka kabisaaaaa..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hayo mambo yapo,
Mimi hata wazazi wangu wenyewe wananijua, na wenyewe ndo hupiga simu sio mimi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni vzr kumjua mtu wako mapema tabia yake,.kuna watu kweli wako hivyo hao huwezi walaumu ni ww kufanya juhudi kumsoma na kumuelewa,.lakini haya mambo ya kukurupukiana siku 2 mnajifanya mnajuana kuliko aliowazaa ndio madhara yake haya,.vijana tupunguze mihemko asee unaweza date nyonya damu hivihivi unajiona...
 
Mie nimeachwa tarehe 31,na kistaarabu na kwa kipekee kabisa nikakubali kuachika bila kuleta lomoni wala n'gwan'gwalu,sasa cha ajabu muachaji ndo anaweweseka na wakati ndo kwanza tarehe 4.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo jikalie zako pembeni uendelee kumsomesha namba kimya kimya mpaka yeye mwenyewe akiri kua maendeleo hayana chama.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Tunacho kosea sisi ni pale tunavyo jiaminisha hao max lover wetu kuwa walikuwa bora hakuna kama yeye na hata tokea, kuachwa na mtu ni njia ya kukusogeza kwa right person hata kama huyo yupoje, Thamani yako ipo katika kuchukua hatua ya kusonga mbele na kujikubali baada ya kupata matokeo ya NDIVYO SIVYO.
 
Hapo jikalie zako pembeni uendelee kumsomesha namba kimya kimya mpaka yeye mwenyewe akiri kua maendeleo hayana chama.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Na muonea huruma tu,mana tabu anapata yeye,mi furaha yangu haimtegemei yeye ama mtu yoyote,ila yeye sasa ni habari tafauti

Ujumbe kwa wanawake wale wapenzi wa series za drama hususan za (kihindi,kifilipino,kikorea) achaneni na hayo makitu.huwezi ukaangalia madrama lisaa limoja kila siku,mara tano kwa wiki,alafu zisikuinfluence katika maisha yako.Kuna siku nlisema nkae niangalie kidogo ndani ya robo saa nliyoketi kutazama hyo series ilikuwa ni drama non stop,scene after scene ni maugomvi na majanga na malumbano.Alafu zinafundisha nadharia ya mapenzi ya kufikirika,fairy tale love,zinafanya wanawake zetu wategemee makubwa sana kutoka kwetu hata yale ambayo hayana tija wala faida,alafu na wao wanakuwa na drama drama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…