Pole bossHahaha taifa kubwa sio. binafsi ni mix ya makabila.mawili. ila si unajua la.baba ndio linahesabika.
Sasa wazaz hawataki. Nikaona isiwe ishu maana dem mwenyewe hakuonyesha kupambania hilo suala alikaa kimya tu.
Haikuwa rizki yangu namshukuru Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui kama somo hili nitaeleweka wa ving'ang'anizi kama rubaAwe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu za kuchukua hatua hiyo.
actually u have been disappointed already but just give a time. if he really love u he will come to u again as long as he knows where to find uAnd if you are told “I don’t want to dissapoint you”
Sina la kusema. Ni upepo tu umepita. Korosho zimeleta matatizo nyumbani
Umekaa nae zaidi ya miaka mitatu mpka umesahau dating games ukijijua uko kwenye stable relationship.
Aikambe kaniDooh! Pole sana mkuu
Aikambe kani[/QUOTE
Aya Mangi oko
kivipi mkuu??fafanuamfano.
unampenda sna lkn hajakukubalia.. kadri muda unavoenda unatakiw upime(kulingana na tabia zake) uone km unatakiwa uendelee kuvumilia au usepe zako
Mtu yuko busy kama anaweka viraka mbinguni ...busy gani hiiKwenye mapenzi ya kweli huwezi kuwa busy kiasi cha kutaka kumzidi shetani,kuna watu wanajua kujifanya wako busy jamanii basi tuone ghorofa unalojenga,hakuna..lakini mtu yuko biiiiizeee kha,itakuwa ni watoa roho watu wa hivyo asee,.lakini kama ww ni mtu mzima unajitambua huwezi kukubali kucheza madange ya baridi,mapema una move on,..muda hautoshi jamanii kuanza kubebembeleza watoto wenye nywele za kwapa,.
Ukiona hivyo jua hakupendi au si mpenzi wa kupigapiga simu....Kwenye mapenzi ya kweli huwezi kuwa busy kiasi cha kutaka kumzidi shetani,kuna watu wanajua kujifanya wako busy jamanii basi tuone ghorofa unalojenga,hakuna..lakini mtu yuko biiiiizeee kha,itakuwa ni watoa roho watu wa hivyo asee,.lakini kama ww ni mtu mzima unajitambua huwezi kukubali kucheza madange ya baridi,mapema una move on,..muda hautoshi jamanii kuanza kubebembeleza watoto wenye nywele za kwapa,.
hilo mkuu hakika hata kipofu analiona.na vipi amekukubalia upo naye na unakula mzigo kama kawaida,ila unakuta ni mtu ambaye anaiumiza akili yako hatulii tu nawewe pekee,na baadaye unagundua ana wapenzi wengine mpo kama wanne hivi. je ,hapo ni patience au wastage of time??
Si ndio hapo shoo wangu,.uwe busy basi tuone matunda ya ubusy wako..busy for nothing chaii😂😂😂
We dada, nilikuwa nije PM.Na hapo ndipo wengi wanaposhindwa kukubaliana na ukweli......hivi mtu anakwambia yuko busy miezi mitatu bado una imani tu!!!!!? Me na gubu langu ukinisumbua mwezi tu naachana na wewe.......mtu ambae sijui uchungu wako wala kitovu chako kilikotupwa sikujui ya nini nianze kuumia kisa wewe......ukiachwa achika
Sent using Jamii Forums mobile app