Microgynon
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 826
- 1,003
Inauma sana..
Ni heri akufuate live aeleze msimamo wako kuliko kukuacha kwa style hiyo
Unabaki kwenye sintofahamu, unaweweseka, maumivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nwenyewe yalinipata
Nilipatwa na msongo wa maqazo usio na mfano. Nkimtafuta harespond
Unaina kabisa last seen yupo online.
Ila kuna rafiki ake anawasiliana nae.. Kaacha simu ghafla naona jina lake juu ya kioo anampigia
Jwakweli nimejifunza kutkpenda kiboya.pia kuachia kitu kiende kama si riziki yako tena
Hawa hiwa wanaacha ila wanakosa sababu resonable ya kjkwambia ndo mana wanachagua kupotezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya nyuma ilinitokea...... Dah acha tu, sikukubaliana na Hali halisi iliniumiza Sana maana nilikuwa naona bila Jamaa siwezi Dah... Ila niliumia jamani but time heals everything, nikaamua nikamsamehe nikamove on now am happy na nimejifunza kukubali matokeo iwe nimeloose or nimewinNi ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa barara, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala kuwa na maongezi ya kueleweka. Kila siku atadai yuko busy. Mmh huu u busy mbona unapata muda wa kuoga kula na kulala kama mimi bado ni wa muhimu kwako.
Awe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu zake katika maamuzi hayo.
Sasa kuna wale wa binafsi wanaotishia kunywa sumu, kulia, kujiumiza. Mpenzi wewe unafarijika kuwa nae lakini ukumbuke kuwa uwepo wako kwake si faraja tena.
Kwa hiyo jimbo lipo huru. ?Mimi ninatafuta true love ukiisikia iliko nistue
Hahahha duhDuh mambo ya kuachana haya yanaumiza muda mwingine. Nilikuwa na mwanamke wangu aisee sikumpenda sana ila nilichoka nae sasa kila nikimuacha analia ananibembeleza namrudia nikanogewa nikamzoea sasa kuna siku akaniudhi nikakasirika sana nikamtamkia bora mapenzi yaishe kila mtu aishi kivyake sasa, yule bint alinijibu sawa kama umeamua hivyo.. Daah ikapita siku tatu mwanamke kakaza wiki kakaza mnh nilikosa raha mimi nilieacha aisee kila nikimuingia labda aniombe msamaha lakini wapi hana time mikausho dadeki ikapita mwezi miezi mwaka miaka mpaka sasa sijui yuko wapi pumbavu zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wewe mwenye roho hiyo kuna wanaume wana mambo ya kiree Sana..... Mimi alisubiri nikasafiri akabeba hadi dekiioSiku hizi tunawaachia wake zetu nyumba, hatutaki matatizo. Tena tunakuambia kabisa, kaa lea watoto hapa. Sisi ndio tunaondoka na kuanza life somwhr else.
Ukiyakazimisha ukumbuke unamkera mwenzako ndiyo mwanzo wa kuwa maadaui.Miaka ya nyuma ilinitokea...... Dah acha tu, sikukubaliana na Hali halisi iliniumiza Sana maana nilikuwa naona bila Jamaa siwezi Dah... Ila niliumia jamani but time heals everything, nikaamua nikamsamehe nikamove on now am happy na nimejifunza kukubali matokeo iwe nimeloose or nimewin
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu 2013 labda kulikuwa na financial gainsBy clinging to the reality she find herself denyibg the reality of the situation.
Nina case kama hyo since 2013 ananililia yule mtoto.i feel guilty ila sina namna cause nisha move on
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna financial she just loved deeper.sasa kila kini call ni kulia. She tried other r/lshp akawa heart broken karudi kwangu kalia kweli.Tangu 2013 labda kulikuwa na financial gains
AiseeeKhaaaa mgumu tena ujue kuanzia kesho jiandae kwa yote
Uzuri wake baada ya wiki mbili unakuwa na ahueni wengine huwachukua wiki moja tu.Si rahisi. Ila ukiamua unaweza....
Sema utaandamwa na nyuki wa maumivu ya moyo mpaka uombe pooh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
πππwallahi upo kama mimi..sibembelezi siangalii nyuma...ata chozi siangushi...Hayo yalikua yananipa shida hapo zamani.. Siku hizi nkiona hivo namtafuta nimuulize kulikoni.
Kama hana jibu la maana tayari naziamini hisia zangu then anakula block maisha yanaendelea
Imagine nakutana na wengi wanaohitaj kuwa nami nawakataa sababu ya huyo boya mmoja..
Nimekomaa kwakweli.. Sjpelekeshwi zama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikumbuka maumivu unaona kama umjibuje sijue...mimi kuna kaka aliniacha jamani nliomba ardhi ipasuke...nliumia hadi nikasafiri kwenda tu sehemu ntulize akili ilinichukua almost mwez mmoja kuwa okay kidogo..sahivi nkimuona naona kama nimeona mdudu gani sijui ila yye ndo anaangaika atar...mara anifate coz tupo eneo moja la kazi...weeeee wanaume sitamanj tenaa....nliliaaa...kanga inajaa machozi na bado nachukua nyngne..nashukur mungu hayupo tena akili na ctk tenaKovu ndiyo maana sirudi kwa ex, akianza tu give me another chance, ninakumbuka yale maumivu.
Kuna mmoja alinitenda wewe, alikokwenda huko yalimkuta ya kumkuta ndipo aliporudi kunitafuta. Bembeleza na wewe kwa kweli nilishamchoka nilimpa jibu moja tu alinidete kila mahali.Ukikumbuka maumivu unaona kama umjibuje sijue...mimi kuna kaka aliniacha jamani nliomba ardhi ipasuke...nliumia hadi nikasafiri kwenda tu sehemu ntulize akili ilinichukua almost mwez mmoja kuwa okay kidogo..sahivi nkimuona naona kama nimeona mdudu gani sijui ila yye ndo anaangaika atar...mara anifate coz tupo eneo moja la kazi...weeeee wanaume sitamanj tenaa....nliliaaa...kanga inajaa machozi na bado nachukua nyngne..nashukur mungu hayupo tena akili na ctk tena
ππpole sanaa...umenichekesha sana ila kweli weeeeee yani MTU anakubadilisha mazima anakufnya unakuwa mtu was ajabu..pole sanaa.ila mwombe sana mungu akupe nguvuGod dam you boy. Hii track inanikumbushaga machungu. My soulmate aliniachaga bila sababu out of no where akaenda olewa na jamaa wa mtaani kwetu.
Huku nikiwa natazama kwa macho yangu. Maumiv niliyapitia yalikuwa makali kias kwamba nilishindwa hata kuongea.
Nilimiamini sana, hata yeye the same. Ila mpaka leo hana jib why alinifanya vile.
But then after that nilikuwa mtu different sana. sometimes nahis part of me ilikufa na yeye.. i am not the same again. I am something else.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππ for sure it real hurts π alfu mtu anakurdia et...aiseeey ulimpa jibu zuri sana...Kuna mmoja alinitenda wewe, alikokwenda huko yalimkuta ya kumkuta ndipo aliporudi kunitafuta. Bembeleza na wewe kwa kweli nilishamchoka nilimpa jibu moja tu alinidete kila mahali.