Ukiachwa achika

Unaweza usi abstain from sex lakini pia ukawa hupendi. Kwani wanao sex wote ni kwasababu wanaupenso na wanaosex nao?
Sasa huo ni utapeli, you get married and have sex on the foundation of love.
 
Unamaana hata Adam alikuwa weak. Maana alimpenda sana mama Eve mpaka kukubali kula tunda.
Yeeaaap! Adam kwa maelezo yako hayo japo huwa siyaamini ila kama ni kweli basi alikua boya na ni very weak mpaka akakubali kufanya kitu amekatazwa na muumba wake.
 
Hakuna kitu kibaya kama kumfanya mwenzio "priority" halafu yeye anakufanya "option"
Akikosa yeye wewe ndo uombe msamaha....anaanza kukuona uko "weak" Mawasiliano hadi uanze wewe usipomuanza naye hakutafuti...

Trust me mahusiano bila mawasiliano ya pande zote mbili sio mahusiano imara...na yasiwe yale ya nakupenda/nimekuhamu....
Bali yawe ni mawasiliano ya kukaa pamoja na kujadili mipango yenu..

Otherwise utajikuta uko kwenye mahusiano miaka 3 na zaidi bila malengo yoyote matokeo yake yakivunjika maumivu yake hayavumiliki.

Learn to let it go before its too late but atleast make sure you have played your role to make it work.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeeaaap! Adam kwa maelezo yako hayo japo huwa siyaamini ila kama ni kweli basi alikua boya na ni very weak mpaka akakubali kufanya kitu amekatazwa na muumba wake.
kwani hivi leo hatufanyi mambo against MUNGU???mambo yanajirudia tu,ukishtuka jogoo kawika
 
Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wanajisahahu unaambiwa usipigane vita kama huna silaha, ukiona mwenzio anaanza kuonyesha dalili ambazo zina atarisha uhusiano wenu una anzaa kuamisha upendo taaratibu mwingine mpka unakuja kuachana una mchangia na harusi kabisa. kuacha ghafla iyo ni umeeingia vitani bilaa silaha lazima umie na hurudi nyuma sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…