Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,093
- 8,227
Aya bhana kikubwa uzimaSio kwel , hiyo ni saikolojia tu yakuwafanya mjione mmepitwa na wakati ili mlegeze kamba , mlipo kaza lazima milio ya Nokia iwepo , vocha ,gesi ,pesa ya kodi ,kusuka na baba kameza panga unafikiri mchezo.