UKAWA wamjibu rais Kikwete

UKAWA wamjibu rais Kikwete

hivi akili huwa una azima au unajitoa ufahamu makusudi. Mwenyekiti wako anatafuta amani, mbulula eti hupendi

wenye ufahamu wamefanya tathimini wameona umuhimu wa UKAWA kuwepo bungeni ndiyo maana wanawaomba warudi bungeni

saa zingine uwe unafikiri kabla hujapost CHADEMA inawabunge 46 ! Nadhani una matatizo si bure !

Habari hii inapatikana kwenye gazeti la Uhuru.

Lengo haswa ni nini hadi mataifa ya nje kuzuia katiba ya watanzania na kutaka kupitisha katiba ya wakoloni kupitia UKAWA?
Ikumbukwe wiki jana wapo viongozi wa chadema walikanusha kwenye vyombo vya habari juu ya kupata ufadhili toka mataifa ya nje lakini hao wanaoshinikiza lazima wanatumia fedha. Kwa lengo gani?

Asante sana KIGOGO kwa kutuhabarisha watanzania, endelea kutupa taarifa japo watakuita majina kama Mamluki, Msaliti, ila ni jambo jema kuwasaliti watu wenye nia mbaya na Taifa hili.
 
kwi kwi kwi! nakuhurumia mwaha utarudi mvumi tunywe ugimbi mlifikiri wazazi wenu watakuwa viongozi milele anza mazoezi mkuu

- wewe wacha kuandika ujinga hapa ukawa mtashika dola mtaweza wapi wabunge 46 tu kelele za debe tupu kila siku peleka huko hatuwahitaji na katiba itapita na mkileta za kuelta mtapigwa tu!1

Le Mutuz
 
alidhani wapentekoste watamsaidia baada ya yule shehe wake kufa yeye badala ya aliowatabiria kufa moto mlangoni ndugu kaa tayari

- Wabunge 46 hamuwezi kuzuia katiba ya wananchi millioni 44 hatuwahitaji sasa nendeni Uingereza kwa huyo mama awasaidie mburulazzz

Le Mutuz
 
- CCM hatukuenda kwa msajili kuomba kusaidiwa kurudi bungeni vipi umechoka kutukana na majina yako ya bandia ha1 ha1 ha! chezeya wewe Rais anyewahitaji hawezi kusema in the public kwamba muombewe ina maana moja kisiasa hawahitaji mpo 46 tu hatuwahitaji nendeni kwa yule mama balozi awape posho maana hatuwahitaji tena!1

Le Mutuz

Ninyi akina nani sasa?

Talking about kutukana kwa majina Bandia,unajisema wewe hapo maana hakuna asiyejua

Rais anayetoa Mipasho karne unataka achukuliwe serious? Modern Taarab na vikundi vya vigodoro vinachukuliwa serious kwa kuwa ni kazi yao kutoa burudani.But Rais amefikaje huko kwenye kukonga nyoyo za mashabiki na kuingilia kazi za watu wengine kutoa burudani?
 
- Nyie mburulazzz jifunzeni lugha za wanasiasa wa Taifa Rais anayetaka mrudi mezani hawezi kusema in the public kwamba muombewe na wachungaji ina maana moja hawahitaji, mtatukana hapa mpaka mufe Katiba itaandikwa bila wabunge 46 Tanzania nzima wananchi Millioni 44 tutasumbuliwa na Wabunge 46 are kidding me or what subirini muone kimbunga kinachokuja, munamuamini Lipumba? Kwa nini kamfukuza Mtatiro si kwa sababu na yeye ana siasa za kitoto kama zenu subirini muone you mburulazzz Katiba ya Tanzania haiwezi kusimamishwa kwa sababu ya wabunge 46 nendeni mkaandamane huko le mburulazz

Le Mutuz

Kweli wewe kubwa jinga hata mzee wako anajuta kuwa na toto pumbafu kama wewe? Hivi mnadhani nchi yenu mainterahamwe tu? Hatutengenezi katiba ya lumumba bali ya taifa zima itakayoridhiwa na makundi yote.Nadhani huu msaada unakutosha!
 
- wewe wacha kuandika ujinga hapa ukawa mtashika dola mtaweza wapi wabunge 46 tu kelele za debe tupu kila siku peleka huko hatuwahitaji na katiba itapita na mkileta za kuelta mtapigwa tu!1

Le Mutuz

Madikteta wote duniani hawakuamini siku waliposhushwa na nguvu ya umma subiri saa yaje upesi na nitapenda sana tuonane nikukumbushe maneno haya mpanda ngazi hushuka mwaha manyile navino
 
- Wabunge 46 hamuwezi kuzuia katiba ya wananchi millioni 44 hatuwahitaji sasa nendeni Uingereza kwa huyo mama awasaidie mburulazzz

Le Mutuz

subiri uone hao milioni 44 wamesimamia wapi polee mwisho wa pepo ya mabwege umefika
 
Ninyi akina nani sasa?

Talking about kutukana kwa majina Bandia,unajisema wewe hapo maana hakuna asiyejua

Rais anayetoa Mipasho karne unataka achukuliwe serious? Modern Taarab na vikundi vya vigodoro vinachukuliwa serious kwa kuwa ni kazi yao kutoa burudani.But Rais amefikaje huko kwenye kukonga nyoyo za mashabiki na kuingilia kazi za watu wengine kutoa burudani?

- Nonsense

Le Mutuz
 
- Wabunge 46 hamuwezi kuzuia katiba ya wananchi millioni 44 hatuwahitaji sasa nendeni Uingereza kwa huyo mama awasaidie mburulazzz

Le Mutuz

Kwa hili lazima mtage,bila kujadiliwa maoni ya wananchi patachimbika.Mtarukaruka lakini mwisho mtatulia tu na kuinamishwa mizigo nyie!
 
- Kaeni huko huko msirudi bungeni muone kama katiba haitapita, wabunge 46 mtashinda Wabunge 280 wa CCM how? hiyo sio sheria ila ujinga sasa subirini muone mwambieni huyo balozi anyewapa jeuri kwamba na yeye ni mburulazzz ataondokja hapa nchini akifanya mchezo,

Le Mutuz
Pepo unaongelea bunge lipi?

Hujui hata idadi ya wajumbe wa bunge la katiba?

Ndio maana changudoa Flora anakuzidi uelewa.

Ok vipi Flora kakustress sana eh na machupi yake ya kiume?
 
- wewe wacha kuandika ujinga hapa ukawa mtashika dola mtaweza wapi wabunge 46 tu kelele za debe tupu kila siku peleka huko hatuwahitaji na katiba itapita na mkileta za kuelta mtapigwa tu!1

Le Mutuz

ha ha ha! ujinga hilo pia nitakukumbusha mwaha jidanganye na hizo data za hapo lumumba hujui huko itiso, ketumbaine na likonde umma una maoni gani
 
- Nonsense

Le Mutuz

Bichwa kubwa akili pilitoni! Maccm mengi majinga kama wewe,yenyewe hudhani hii yao pekeyao. Nyie ni wapangaji tu na miaka 53 ya uhuru imewatosha,mmechakaa hamna uwezo tena wa kuongoza taifa hili.
 
- Unajisema mwenyewe mambo yako kuwa ni mjinga bila kuulizwa, na wewe unaamini wabunge 46 watazuia katiba ya wananchi Millioni 44 subiri uone

Le Mutuz

Kama hawazuii mbona mnahangaika kuwataka warudi mbona hutaki kujibu hoja wewe chakla.
 
- Mbona lichama laki linapigwa chini miaka 30 toka lianzishwe mjinga wewe hii thread ni ya ukawa mburulazzz

Le Mutuz

tusiongelee mate mkuu wino upooooo very soon utakutana na nguvu ya umma:angry::angry:
 
Back
Top Bottom