UKAWA wamjibu rais Kikwete

UKAWA wamjibu rais Kikwete

- wote mmejaaa mapepo mnahitaji kuombewa Rais amesema muombewe tu

Le Mutuz

nyie na rais wenu anayeangushwa na mapepo ndo mnahitaji maombi ndio maana kakimbilia kwa wapentekoste mapepo ya ufisadi nomaaa
 
- Kaeni huko huko msirudi bungeni muone kama katiba haitapita, wabunge 46 mtashinda Wabunge 280 wa CCM how? hiyo sio sheria ila ujinga sasa subirini muone mwambieni huyo balozi anyewapa jeuri kwamba na yeye ni mburulazzz ataondokja hapa nchini akifanya mchezo,

Le Mutuz
Kilio chako cha kutaka kupatiwa kacheo na C.. kinaendelea kugonga mwamba ndugu yangu! Kwa kutumia mtandao wa JF kujimarket kwa C.. nayo itagonga mwamba. Kilichobakia kwako ni just concentration kwenye hizo shughuli zako za biashara. Nilitegemea mtu kama wewe of a such calibre ujifahamu mapema au labda ninakosea................
 
- Nyie mburulazzz jifunzeni lugha za wanasiasa wa Taifa Rais anayetaka mrudi mezani hawezi kusema in the public kwamba muombewe na wachungaji ina maana moja hawahitaji, mtatukana hapa mpaka mufe Katiba itaandikwa bila wabunge 46 Tanzania nzima wananchi Millioni 44 tutasumbuliwa na Wabunge 46 are kidding me or what subirini muone kimbunga kinachokuja, munamuamini Lipumba? Kwa nini kamfukuza Mtatiro si kwa sababu na yeye ana siasa za kitoto kama zenu subirini muone you mburulazzz Katiba ya Tanzania haiwezi kusimamishwa kwa sababu ya wabunge 46 nendeni mkaandamane huko le mburulazz

Le Mutuz

Pamoja na kukulia kwenye familia ya Mwanasiasa lakini bado huwajui wanasiasa ................. anyway, hivi nani alikuambia kuwa UKAWA ni CDM ................... hao 46 unaowataja, akina Lipumba, Mbatia na wenzao umewajumlisha au hesabu yako ndiyo imeishia hapo!!?
 
we unadhan leo atapost hapa. hans ashaharibu kuwa kubwa jinga bado linakaa kwa kakake duu.
 
Kula kulala nenda kale chakula cha bure kwa John, pia kazi ya udalali kwa Chikago haikutoshi hadi uwe unaombaomba hovyo

- ha! ha! ha! ukawa mnachojua matusi tu hoja zero, eti TaNZANIA TAIFA la wananchi Millioni 44 tushindwe kutengeneza katiba mpya kisa wabunge 46 yaani nyie kweli ni mbuurulazzza sasa subiri muone kimbunga kinakuja mtalia kama watoto, kama mlivyopigwa Chalinze na Kalenga!1

Le Mutuz
 
Kilio chako cha kutaka kupatiwa kacheo na C.. kinaendelea kugonga mwamba ndugu yangu! Kwa kutumia mtandao wa JF kujimarket kwa C.. nayo itagonga mwamba. Kilichobakia kwako ni just concentration kwenye hizo shughuli zako za biashara. Nilitegemea mtu kama wewe of a such calibre ujifahamu mapema au labda ninakosea................

- Wewe mburulazzz wachana na mimi nina life wewe huna life get life man, ila ukawa mmeshindwa mrudi msirudi hakuna anayejali muombewe maana mmejaaa mapepo ya shetani tu le mburulazzz mnakera sana mna kelele kama mlango, huna hoja katiba itapita tu! bila maukawa!1

Le Mutuz
 
Wewe mburula ,sisi hatutaki katiba ya kigumashi bali tunataka katiba itakayokubalika na wananchi kwani itakuwa na maslahi kwao; katiba ya namna hiyo haiwezi kuandikwa na magamba peke yao na kudharau utashi wa wananchi!!

- wewe nyamaza mburulazzz unamuwakilisha nani wewe? CCM inawakilisha wananchi wa Tanzania ndio tutatengeneza katiba nyie hamuhitajiki muombewe tu mtoke mapepo ya shetani na mkileta za kuleta mtapigwa tu!!

Le Mutuz
 
Posho time, sasa wanatafuta visingizio vya kurudi tena, Nyie mmeshasema hamrudi sasa hampaswi kubadili msimamo
 
- Foolish nyie mkishika dola mimi nahamia Zambia angalau kuliko kutawaliwa na mburulazzzz

Le Mutuz

mzee J mwenye alitaka kuuza nchi Mwl akamshtukia sasa wewe kukimbia nchi sijambo lakushtusha kimbia kabla dola haijashikwa na watanzania maana mtaozea jera wezi wakubwa
 
Back
Top Bottom