UKAWA wamjibu rais Kikwete

UKAWA wamjibu rais Kikwete

- Tapeli ni kupokea pesa za wazungu kuharibu Katiba ndio utapeli mtakoma sasa mburulazzzz katiba itapita na mtalia kama watoto maana hamna akili eti UKAWA mpo wenyewe tu Chadema mburulazzz

Le Mutuz

Kibabu badala ya kulea wajukuu kiko ndani ya JF hadi muda huu
 
Toka Pepoooo!!!

Zee la miaka 60 linawanga bila aibu.Utawaachia wajukuu na vitukuu urithi gani ?

- Nitawaachia urithi wa kuuza mapombe pale bilicanas le mburulazzz unafikiri tunwahitaji kwenye katiba nyie watu 46 tu? mtaona cha moto hatuwahitaji msirudi muone!1

Le Mutuz
 
Kwa umri wako wa miaka 60 ni aibu kuandika ulichoandika.

Mungu akusamehe maana hujui unenalo.

Mungu amemnyima Mzee Malecela mtu wa kufuata nyayo zake

Mkuu tumbo halizai wafalme wawili anahumahuma tu ukweli uko wazi bila UKAWA hawawezi kutoa katiba mpya ndo maana mara wakejeli kuwa wasirudi wao wanaendelea, mara hawajui kilichowatoa mara wanaomba warudi hakika mwaka huu tutasikia
 
- Maukawa hatuwahitaji kabisa ndio maana Rais wamewakejeli eti muombewe maana ni mizigo kwa taifa le mburulazzz masirudi katiba itapita tu!!

Le Mutuz
 
- Wewe mjinga unafikiria kwa kutumia mikono na masikio yako makubwa sana kama ya popo, usiwe mjinga hakuna Taifa duniani linaweza zuiwa kutengeneza katiba kwa sababu ya wabunge 46, sasa tulieni muone siasa misoijua kwani CCM haikujua kwamba mtatoka kwenye bunge? Ni chama gani cha siasa kinaenda bila plan b? mburulazzz kaeni huko msirudi muone kimbunga kinakuja!1

Le Mutuz

Tatizo Le Mutuz we ni kubwa jinga huna akili kabisa mngekua na uwezo wakuipitisha hyo katiba naamin msingekua mnaweweseka kuwabembeleza ukawa ili warudi. Mbona mnahangaika kuwatuma wapatanishi viongozi wadin ili wawarudishe? Nasubiri kuona cku mnapitisha hyo katiba tuone wewe unayefikiri kwa kutumia makalio.
 
kibabu leo kimechanganyikiwa...Kujukuu kazi

- Kila mkipewa nafasi ya kujenga hoja kazi yenu ni hii hamna hoja ila matusi sasa unatukana wazee wasio na makosa ina maana Chadema mnabagua wazee mtawatupa mto Victoria kama Idd Amin mkishika power ndio watu wa kuwapa dola nyie wajinga? please kwa hiyo unasema nini kwenye chama chenu hamtaki wazee yaani mburulazzz mwambieni huyo mama mzungu awape madaraka tuone, katiba itaandikwa na mtashika adabu tu msirudi bungeni hatuwataki kabisa nendeni mfanye maandamano mburulazzz

Le Mutuz
 
Tatizo Le Mutuz we ni kubwa jinga huna akili kabisa mngekua na uwezo wakuipitisha hyo katiba naamin msingekua mnaweweseka kuwabembeleza ukawa ili warudi. Mbona mnahangaika kuwatuma wapatanishi viongozi wadin ili wawarudishe? Nasubiri kuona cku mnapitisha hyo katiba tuone wewe unayefikiri kwa kutumia makalio.

- Wewe uneytumia jina la bandia kubishana na mimi ninayetumia nina langu kamili ndio mburulazzzz jifunze kutumia jina lako kama mimi ndio utakuwa na akili maana utakuwa responsible kama mimi, mburulazzz wewe nyamaza tu mjinga!! ha1 ha1 ha!

Le Mutuz
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

...kubwa jinga,kwa tathmini hii washangae babazako wanaokosa usingizi kwaajili ya ukawa,ccm wafuate ushauri wako wasongembele...
 
Hili jitu nilikuwa naliona kama lenye maana kipindi fulani, ila siku zinvyokwenda ndio rangi zake chafu zinaonekana. Kweli Jumanne ana hasara.
 
- Kila mkipewa nafasi ya kujenga hoja kazi yenu ni hii hamna hoja ila matusi sasa unatukana wazee wasio na makosa ina maana Chadema mnabagua wazee mtawatupa mto Victoria kama Idd Amin mkishika power ndio watu wa kuwapa dola nyie wajinga? please kwa hiyo unasema nini kwenye chama chenu hamtaki wazee yaani mburulazzz mwambieni huyo mama mzungu awape madaraka tuone, katiba itaandikwa na mtashika adabu tu msirudi bungeni hatuwataki kabisa nendeni mfanye maandamano mburulazzz

Le Mutuz

Kwi kwi kwiii...

Kibabu leo kimechafukwa...
 
...kubwa jinga,kwa tathmini hii washangae babazako wanaokosa usingizi kwaajili ya ukawa,ccm wafuate ushauri wako wasongembele...

- Wewe mjinga Rais anayewahitaji kwenye meza hawezi kusema in the public muombewe maana yake hawahitaji hivi mtajifunza lini siassa tizama mlivyo bure mmeeenda kujibu mnajibu nini nani anahiwataji hakuna, siku ukisikia Field Marshall Mwigulu anasema CCM inawahitaji ujue kweli ila hatuwahitaji kaeni huko huko muandamane mtapigwa tu!! ha! ha!

Le Mutuz
 
- Wewe uneytumia jina la bandia kubishana na mimi ninayetumia nina langu kamili ndio mburulazzzz jifunze kutumia jina lako kama mimi ndio utakuwa na akili maana utakuwa responsible kama mimi, mburulazzz wewe nyamaza tu mjinga!! ha1 ha1 ha!

Le Mutuz

Kizee cha miaka 60 at work!
 
Kwa umri wako wa miaka 60 ni aibu kuandika ulichoandika.

Mungu akusamehe maana hujui unenalo.

Mungu amemnyima Mzee Malecela mtu wa kufuata nyayo zake

Mkuu tumbo halizai wafalme wawili anahumahuma tu ukweli uko wazi bila UKAWA hawawezi kutoa katiba mpya ndo maana mara wakejeli kuwa wasirudi wao wanaendelea, mara hawajui kilichowatoa mara wanaomba warudi hakika mwaka huu tutasikia
 
Wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia kwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, wamemjibu Rais Kikwete wakisema watakuwa radhi kurudi Bunge la Katiba endapo kutafanyika taathmini na tafakuri ya kina katika kubaini sababu za kuvurugika kwa Bunge hilo na kuzitazama kanuni zinazolisimamia, pamoja na sheria ya mabadiliko ya katiba.

Pia UKAWA wametaka pawepo na makubaliano ya maandishi kwamba hakutakuwa na kauli za matusi, kudharauliana wala kejeli, bali kitakachojadiliwa ni maoni ya wananchi yaliyomo kwenye rasmu ya Tume ya Jaji Warioba.

Msimamo huo ulitolewa juzi na Mhe.Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipokuwa akizungumzia mchakato huo wa Katiba mpya Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya UKAWA kuwa wameombwa na Viongozi mbalimbali warudi Bungeni.

Alisema kuwa Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wamewaomba warudi kwenye Bunge hilo, lakini wai wametoa masharti kwamba kufanyike vikao vya pamoja vya kutathmini hali iliyojitokeza awali, kisha wawekeane utaratibu wa kufuata kimaandishi.

"Uwendawazimu ni kufanya mambo yale yale kwa kutumia watu wale wale na kwa utaratibu ule ule, halafu utegemee matokeo tofauti. Tumetoka kwenye Bunge la Katiba ambapo tumeona matusi, kejeli, dharau, ubaguzi wa hali ya juu na kupuuzwa kwa maoni ya wananchi, halafu mnatuita turudi kwenye Bunge lile lile tukatukanane kisha mtegemee kupata Katiba bora". Alihoji Mbowe.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, alisisitiza kuwa, hata wakikubaliana wakarudi kisha matendo yale ya awali yakajitokeza ikiwemo kupuuza maoni ya wananchi, hawatasita kutoka tena kwa lengo la kupigania kupatikana kwa Katiba bora yenye kuzingatia maslahi ya wananchi wote.

Mhe.Mbowe alisema kuwa, Wabunge wa CCM hawawezi kuhitimisha mchakato huu wakiwa peke yao, kwa kile alichoeleza kuwa, Katiba inatakiwa kuandaliwa na makundi yote ya jamii.

Chanzo:Tanzania Daima.
Kuna jamaa anasema eti viongozi wa dini wawaombee UKAWA na kuwa kuna mapepo yaliyovuruga mchakato. Mimi naona mwenye mapepo na anayestahili kuombewa ni yule aliyetoa hotuba iliyovuruga mchakato wa kujadili rasimu ya katika kwa kutaka maoni yake na ya chama chake ndiyo yazingatiwe. Huyo ndiye mwenye mapepo anastahili kuombea ili akiri kosa lake na afute kauli zake za kusema eti jambo fulani haliwezi kutokea labda baada ya utawala wake. Lakini kwasababu bado ana mapepo anajiona kuwa yeye sio sababu ya kuvurugika mchakato wa katiba mpya.
 
Kizee cha miaka 60 at work!

- Umekosea nina miaka 70 ukawa mtaisoam tu mwaka huu mburulazzz akili wote hamna tizama nilivyowatoa kwenye hoja toka mwanzo mlipoanza maana ni mburulazzzz kaka unacheza my dance ndio maana nipo hapa, ha1 ha1 ha! hamna hoja na katiba itafanyika bila ukawa na mkileta za kuleta mtapigwa!1

Le Mutuz
 
- Maukawa hatuwahitaji kabisa ndio maana Rais wamewakejeli eti muombewe maana ni mizigo kwa taifa le mburulazzz masirudi katiba itapita tu!!

Le Mutuz

Pole agwe nitakutafuta pale mpunguzi nikununulie ugimbi utulize kiu maana mnaondoka na dhaifu wenu :A S 103::A S 103:
 
Back
Top Bottom