UKAWA wamjibu rais Kikwete

UKAWA wamjibu rais Kikwete

Hahaha...kumbe hizi zote hasira za kuzidiwa uzuri na Frola Lyimo aisee..pole sana, we ni oversize zile chupi hazikutoshi.

- ha! ha1 ha1 le ukawazzz muombewe tu, jamani alamsiki kesho my people naenda kulala u know it is late now kama vipi kesho u know!!\

\Le Mutuz
 
- Wewe ni ukawa tu kama wengine huna akili maana ungekwua nazo usingeamini Tanzania inaweza kushindwa katiba mpya ksia wabunge 46 ni akili mbovu sana hiyo

Le Mutuz

Wewe mburula ,sisi hatutaki katiba ya kigumashi bali tunataka katiba itakayokubalika na wananchi kwani itakuwa na maslahi kwao; katiba ya namna hiyo haiwezi kuandikwa na magamba peke yao na kudharau utashi wa wananchi!!
 
Chonde chonde UKAWA msikubali kurudi mpaka CCM ikubali kujadili Rasimu ya Jaji Warioba kinyume chake CCM itawaingiza mjini mmefanikiwa kuwabana ndio maana mnawaona wanatafuta suluhu
 
Raısı anatakıwa ajue CCM ınaweza kufa hata kesho maana nı kawaıda na sı kıtu cha ajabu, hata tanu ılıkufa pıa, sasa kama anaweka msımamo wa chama ıkatokea chama kıkafa natural death, tutatunga tena katıba? Sıjuı CCM ıtakufa ln ıla hata leo waweza sıkıa maana dalılı. Zote za kufa zıshaonekana. Chonde chonde raısı wangu kubalı ulıteleza uombe radhı msımamo wa wananchı ndıo ujadılıwe na kuwekwa ktk halı nzurı kısherıa. Taasısı ya uraıs naona ımelewa kıtu flanı
 
- Kumbe wote mnahitaji kuombewa kama alivyosema Rais mburulazzz, eti Wabunge 46 mtauzia katiba ya Tanzania hii itakuwa Banana Republic sio Tanzania subirini huko huko muone kama Katiba haitatengenezwa tena msirudi mbaki huko huko mburulazzz

Le Mutuz
hapo kwenye bold naona umejipalia makaa mwenyewe. Subiri wenzako wasome jinsi ulivyomwita mwenyekiti wenu.
 
Kazi kweli kweli msajili wa vyama has a mandate to deliver peoples katiba? Really?
 
- ha! ha1 ha1 le ukawazzz muombewe tu, jamani alamsiki kesho my people naenda kulala u know it is late now kama vipi kesho u know!!\

\Le Mutuz

Kula kulala nenda kale chakula cha bure kwa John, pia kazi ya udalali kwa Chikago haikutoshi hadi uwe unaombaomba hovyo
 
- ha! ha1 ha1 le ukawazzz muombewe tu, jamani alamsiki kesho my people naenda kulala u know it is late now kama vipi kesho u know!!\

\Le Mutuz

Ushakwenda kulala kwa kakako, wacha utoto nenda kapange chumba jitrgemee bure haikufai mrembo
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

du umerudi tena aisee safari ile walikuweza
 
Umri wako na mawazo uliyo nayo ni hasara sio kwa wazazi na ndugu zako pekee bali ni hasara ama janga kwa nchi yetu kwa ujumla. Mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu unakuwa na mawazo finyu kiasi hiki, aibu.
 
Marehemu Ipyana angekuwa hai sasa hivi angekuwa kiongozi mkuu katika ccm na kwa busara zake asingezungumza utumbo kama wako wewe bodyguard wa Mosha!! You are a disgrace katika ukoo wa Tinga.

usimchezee ana hisa za asilimia moja kwenye radio ya mosha
 
Back
Top Bottom