UKAWA wamjibu rais Kikwete

UKAWA wamjibu rais Kikwete

Mkuu tumbo halizai wafalme wawili anahumahuma tu ukweli uko wazi bila UKAWA hawawezi kutoa katiba mpya ndo maana mara wakejeli kuwa wasirudi wao wanaendelea, mara hawajui kilichowatoa mara wanaomba warudi hakika mwaka huu tutasikia

- Mkuu waulize wakuu wako nani aliyeenda kwa msajili wa vyama kuomba kusaidiwa kurudi bungeni, sasa kama Rais kweli anawahitaji anasema muombewe? ha! ha! ha! hahawahitaji ndio maana kaeni huko huko ukawa!!

Le Mutuz
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

Mkuu wangu umeachana na kule NBC Ltd?

Turudi kwenye mjadala.Hivi hizi comment ulizoandika umefikiria sawasawa kweli?

Kama unataka UKAWA wakae nje waambieni Viongozi wenu waache kulialia na kuwaita kila saa kama hawana impact.Sielewi kwanini wawaite kila saa
 
- Maukawa hatuwahitaji kabisa ndio maana Rais wamewakejeli eti muombewe maana ni mizigo kwa taifa le mburulazzz masirudi katiba itapita tu!!

Le Mutuz

Duh..huwa nashindwa kumwelewa kabisa huyu mzee, nahis ni kwa sababu kichwa anafugia kipara.
 
- Umekosea nina miaka 70 ukawa mtaisoam tu mwaka huu mburulazzz akili wote hamna tizama nilivyowatoa kwenye hoja toka mwanzo mlipoanza maana ni mburulazzzz kaka unacheza my dance ndio maana nipo hapa, ha1 ha1 ha! hamna hoja na katiba itafanyika bila ukawa na mkileta za kuleta mtapigwa!1

Le Mutuz
acha kutoa povu mwambie huyo mama mdogo wa kipare aanze kufungasha arudi kwao upareni moto mkali unawajia mafisadi wote waliofikiri:A S crown-1:
 
- Wewe uneytumia jina la bandia kubishana na mimi ninayetumia nina langu kamili ndio mburulazzzz jifunze kutumia jina lako kama mimi ndio utakuwa na akili maana utakuwa responsible kama mimi, mburulazzz wewe nyamaza tu mjinga!! ha1 ha1 ha!

Le Mutuz

Unaendelea kudhirisha ulivyo mjinga Le Mutuz inasikitisha sana kuona mzee kama wewe ulivyo na akili ndogo. Tatizo huna majukumu wewe huwez kua na akili mtu mwenyewe chakla a.k.a bwabwa.
 
- Mkuu waulize wakuu wako nani aliyeenda kwa msajili wa vyama kuomba kusaidiwa kurudi bungeni, sasa kama Rais kweli anawahitaji anasema muombewe? ha! ha! ha! hahawahitaji ndio maana kaeni huko huko ukawa!!

Le Mutuz
hiyo kofia utaisahau kwa kukimbia bora uanze mazoezi upunguze huo mwili zembe tunakusibiri mpwayungu mwaha
 
- Siwapendi maukawa mna matusi sana so kaeni huko huko mkileta za kuleta mtapigwa tu!1

Le Mutuz

Aise....wewe na mwenyekiti wako wa chama mnapingana?
Si jana tu alikuwa mbeya akaomba ukawa warudi?
Au unajipa faraja kwa majibu mepesi unayotoa,sitta anahaha halali kisa ukawa bunge limepoteza dira wazalendo wapo nje ya uwanja na nakuakikishia....bila ukawa hamna katiba mnajipa moyo tu!!!
 
Mkuu wangu umeachana na kule NBC Ltd?

Turudi kwenye mjadala.Hivi hizi comment ulizoandika umefikiria sawasawa kweli?

Kama unataka UKAWA wakae nje waambieni Viongozi wenu waache kulialia na kuwaita kila saa kama hawana impact.Sielewi kwanini wawaite kila saa

- CCM hatukuenda kwa msajili kuomba kusaidiwa kurudi bungeni vipi umechoka kutukana na majina yako ya bandia ha1 ha1 ha! chezeya wewe Rais anyewahitaji hawezi kusema in the public kwamba muombewe ina maana moja kisiasa hawahitaji mpo 46 tu hatuwahitaji nendeni kwa yule mama balozi awape posho maana hatuwahitaji tena!1

Le Mutuz
 
Aise....wewe na mwenyekiti wako wa chama mnapingana?
Si jana tu alikuwa mbeya akaomba ukawa warudi?
Au unajipa faraja kwa majibu mepesi unayotoa,sitta anahaha halali kisa ukawa bunge limepoteza dira wazalendo wapo nje ya uwanja na nakuakikishia....bila ukawa hamna katiba mnajipa moyo tu!!!

- wewe TUMIA AKILI kidogo tu mtu anayewataka mrudi anasema muombewe maana mna mappepo unasema anawahitaji huyo tumia akili kidogo tu!1

Le Mutuz
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

Wewe ni limbukeni.
 
hiyo kofia utaisahau kwa kukimbia bora uanze mazoezi upunguze huo mwili zembe tunakusibiri mpwayungu mwaha

- Mwili wako mdogo umejaa ukawa yaani ujinga ujinga unaamini wabunge 46 wanaweza kuzuia katiba ndio maana ya akili za ukawa hizo!1

Le Mutuz
 
- ha! ha! ha! ha! mtaisoma sana kudadeki zenu hatuwahitaji nendeni kwa huyo balozi wenu awape dola, ha1 ha! ha!

Le Mutuz

ha ha ha! balozi wa kule mzee JM a.k.a jumanne alipolewa akatuaibisha aliporudi akapigwa chini u-PM
 
Unaendelea kudhirisha ulivyo mjinga Le Mutuz inasikitisha sana kuona mzee kama wewe ulivyo na akili ndogo. Tatizo huna majukumu wewe huwez kua na akili mtu mwenyewe chakla a.k.a bwabwa.

- Unajisema mwenyewe mambo yako kuwa ni mjinga bila kuulizwa, na wewe unaamini wabunge 46 watazuia katiba ya wananchi Millioni 44 subiri uone

Le Mutuz
 
- Mwili wako mdogo umejaa ukawa yaani ujinga ujinga unaamini wabunge 46 wanaweza kuzuia katiba ndio maana ya akili za ukawa hizo!1

Le Mutuz

Nishakupa pole unafikiri kwa nini mabosi wako wanahaha makanisani mene mene tekeli na peresi:cool2::llama::llama:
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

hivi akili huwa una azima au unajitoa ufahamu makusudi. Mwenyekiti wako anatafuta amani, mbulula eti hupendi

wenye ufahamu wamefanya tathimini wameona umuhimu wa UKAWA kuwepo bungeni ndiyo maana wanawaomba warudi bungeni

saa zingine uwe unafikiri kabla hujapost CHADEMA inawabunge 46 ! Nadhani una matatizo si bure !
 
- Siwapendi maukawa mna matusi sana so kaeni huko huko mkileta za kuleta mtapigwa tu!1

Le Mutuz

kwi kwi kwi! nakuhurumia mwaha utarudi mvumi tunywe ugimbi mlifikiri wazazi wenu watakuwa viongozi milele anza mazoezi mkuu
 
Back
Top Bottom