UKAWA wamjibu rais Kikwete

UKAWA wamjibu rais Kikwete

Pepo kubwa wewe,

UKAWA wabunge46 what a shame?

Kama mnaweza mbona mnalialia UKAWA warudi?

kumbe hata sheria ya katiba mpya huijui?

Unajua madhara ya kutokuwepo kwa UKAWA kwenye hilo Bunge la katiba?

Soma hoja uelewe ili ujenge hoja, na ujibiwe kwa hoja.

Ok Ombewa mapepo wakutoke ujitambue kujenga hoja.

- Kumbe wote mnahitaji kuombewa kama alivyosema Rais mburulazzz, eti Wabunge 46 mtauzia katiba ya Tanzania hii itakuwa Banana Republic sio Tanzania subirini huko huko muone kama Katiba haitatengenezwa tena msirudi mbaki huko huko mburulazzz

Le Mutuz
 
Kweli hujielewi na pia hufahamu mahitaji ya katika ni kwa ajili ya nini.

- Wewe usiwe mjinga unaamini Katiba ya Tanzania itashindwa kwa sababu ya wabunge wenu 46 tu? na yule Balozi wenu anayewapa hizo hela za kuleta jeuri mtaona le mburulaazzz katiba itapita na tutaawambia wananchi kwamba milikimbia kama Chalinze na Kalenga mtapigwa chini na hela zenu za Kagame, le mburulazzz!!

Le Mutuz
 
Hakuna bajeti ya cup of coffee and juice at State House.

Kikundi kinachojiita cha UKAWA kilitoka kwenye Bunge Maalum kwa matakwa yake na kwa matakwa hayo hayo yatakayowafanya warudi kwenye bunge Maalum la Katiba.

Hakuna muda wa kubembelezana hasa ikichukuliwa kuwa nchi yetu kwa sasa inaongozwa kwa kutumia katiba ya kudumu 1977.

Kama hoja ni serikali mbili, hata huko mitaani watazikuta na wakirudi bungeni anagalau wanaweza kupata muda wa kuzijadili na kama hoja zao zitakuwa endelevu basi wananchi kupitia wabunge wa bunge maalum wanaweza kuwasikiliza kwa makini.
 
Mkuu mbona unakuja na miziki ambayo imepitwa na wakati? Tufanye la maana siyo..............

- Kaeni huko huko msirudi bungeni muone kama katiba haitapita, wabunge 46 mtashinda Wabunge 280 wa CCM how? hiyo sio sheria ila ujinga sasa subirini muone mwambieni huyo balozi anyewapa jeuri kwamba na yeye ni mburulazzz ataondokja hapa nchini akifanya mchezo,

Le Mutuz
 
- Ndio tabia ya mlevi ulizaliwa kwa Mikesha ya mwenge unadhani ni wote, Chadema wabunge 46 mtazuia Katiba ya Wananchi 44 Millioni? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Tatizo unafikiria kwa kutumia tumbo sasa mbona mnahangaika na ukawa warudi bungeni si mrudi wenyewe mkapitishe hyo katiba halafu tuone kitakachotokea.
 
Najaribu kufikiria uelewa wa POMPO, kweli unanitia mashaka na wasiwasi mkubwa kama kweli huyu mtu ana akili timamu. Comments zake zote ni za kishabiki bila hata kuwa na chembe ya uelewa wa mambo. Ukawa wamepima upepo wameona posho hiyo imeanza kuyeyuka sasa wanakuja na stori nyingi. walisema hawarudi mbungeni sasa matamko ya nini wakati walishasema hawarudi? wamepima upepo wamegundua wataishi kwa kula supu ya mawe kwahiyo ili waweke heshima baa dawa ni kurudi ndani ya mjengo ili posho ieleweke. Sisi wenye akili tulijua watarudi tu bungeni. ndo maana walivyotaka kutoka walichukua kwanza posho then wakatoka.
 
Tatizo unafikiria kwa kutumia tumbo sasa mbona mnahangaika na ukawa warudi bungeni si mrudi wenyewe mkapitishe hyo katiba halafu tuone kitakachotokea.

- Wewe mjinga unafikiria kwa kutumia mikono na masikio yako makubwa sana kama ya popo, usiwe mjinga hakuna Taifa duniani linaweza zuiwa kutengeneza katiba kwa sababu ya wabunge 46, sasa tulieni muone siasa misoijua kwani CCM haikujua kwamba mtatoka kwenye bunge? Ni chama gani cha siasa kinaenda bila plan b? mburulazzz kaeni huko msirudi muone kimbunga kinakuja!1

Le Mutuz
 
- Nyie mburulazzz jifunzeni lugha za wanasiasa wa Taifa Rais anayetaka mrudi mezani hawezi kusema in the public kwamba muombewe na wachungaji ina maana moja hawahitaji, mtatukana hapa mpaka mufe Katiba itaandikwa bila wabunge 46 Tanzania nzima wananchi Millioni 44 tutasumbuliwa na Wabunge 46 are kidding me or what subirini muone kimbunga kinachokuja, munamuamini Lipumba? Kwa nini kamfukuza Mtatiro si kwa sababu na yeye ana siasa za kitoto kama zenu subirini muone you mburulazzz Katiba ya Tanzania haiwezi kusimamishwa kwa sababu ya wabunge 46 nendeni mkaandamane huko le mburulazz

Le Mutuz

Wewe kweli ni PEPO.Zee la miaka 60 kazi kujibizana na wajukuu huku mitandaoni.

Shame!
 
- Wewe kwa umri wako unaingia hapa na majina ya bandia kutukana watu si ndio hasara kwa Taifa na baba yako, hebu nyamaza wewe mburulazzz!! ha! ha!

Le Big Show
Tapeli umerudi JF baada ya kuwaingiza wana Jf mkenge wa kwenda NBC ili ujipatie chochote toka management
 
- Kumbe wote mnahitaji kuombewa kama alivyosema Rais mburulazzz, eti Wabunge 46 mtauzia katiba ya Tanzania hii itakuwa Banana Republic sio Tanzania subirini huko huko muone kama Katiba haitatengenezwa tena msirudi mbaki huko huko mburulazzz

Le Mutuz

Toka Pepoooo!!!

Zee la miaka 60 linawanga bila aibu.Utawaachia wajukuu na vitukuu urithi gani ?
 
- Wewe usiwe mjinga unaamini Katiba ya Tanzania itashindwa kwa sababu ya wabunge wenu 46 tu? na yule Balozi wenu anayewapa hizo hela za kuleta jeuri mtaona le mburulaazzz katiba itapita na tutaawambia wananchi kwamba milikimbia kama Chalinze na Kalenga mtapigwa chini na hela zenu za Kagame, le mburulazzz!!

Le Mutuz

Kwa kweli nimpongeze Rais kwa kuwaita nyie ni mapepo.Hata unayoandika hapa unadhihirisha una mapepo!
 
Wewe kweli ni PEPO.Zee la miaka 60 kazi kujibizana na wajukuu huku mitandaoni.

Shame!

- Mtoto mchanga miaka 3 UKAWA mburulazzz kaeni huko huko msirudi bungeni muone, Rais anawacheka mpaka kusema muombewe maana yake hawahitaji sasa mtaona katiba itapita na hamtafanya lolote mtakubali tu mkileta za kuleta mtapigwa tu ha1 ha! ha1 ha

Le Mutuz
 
- Ndio tabia ya mlevi ulizaliwa kwa Mikesha ya mwenge unadhani ni wote, Chadema wabunge 46 mtazuia Katiba ya Wananchi 44 Millioni? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz
Katiba ya watz milioni 44 au katiba ya wanaccm milioni 5.Mbona mnatudharau sana kaka,yaani maoni yetu wabunge wenu wayachakachue,then mseme katiba itakayopatikana ni yetu?Hivi watanzania tumewakosea nini mpaka mnatudharau kwa kiasi hiki
 
Najaribu kufikiria uelewa wa POMPO, kweli unanitia mashaka na wasiwasi mkubwa kama kweli huyu mtu ana akili timamu. Comments zake zote ni za kishabiki bila hata kuwa na chembe ya uelewa wa mambo. Ukawa wamepima upepo wameona posho hiyo imeanza kuyeyuka sasa wanakuja na stori nyingi. walisema hawarudi mbungeni sasa matamko ya nini wakati walishasema hawarudi? wamepima upepo wamegundua wataishi kwa kula supu ya mawe kwahiyo ili waweke heshima baa dawa ni kurudi ndani ya mjengo ili posho ieleweke. Sisi wenye akili tulijua watarudi tu bungeni. ndo maana walivyotaka kutoka walichukua kwanza posho then wakatoka.

Gazeti la kidaku mkaanza kutangaza kupandisha posho,baada ya kuona ukawa wanajadiliana nanyi kurudi bungeni,
Mkaona hii ndio propaganda ya kutumia,ccm bana mmefulia,
Tutaweka vyote wazi muda ukifika,endeleeni kujichanganya.Bila katiba ya wananchi hamtoki,na wakiingia kisha mlete zenu baadae watz muwahadae kuwa ukawa wamechota hela wametoka tena,tutawanyoosha tu 1992 si ya 2014
 
Tapeli umerudi JF baada ya kuwaingiza wana Jf mkenge wa kwenda NBC ili ujipatie chochote toka management

- Tapeli ni kupokea pesa za wazungu kuharibu Katiba ndio utapeli mtakoma sasa mburulazzzz katiba itapita na mtalia kama watoto maana hamna akili eti UKAWA mpo wenyewe tu Chadema mburulazzz

Le Mutuz
 
Katiba ya watz milioni 44 au katiba ya wanaccm milioni 5.Mbona mnatudharau sana kaka,yaani maoni yetu wabunge wenu wayachakachue,then mseme katiba itakayopatikana ni yetu?Hivi watanzania tumewakosea nini mpaka mnatudharau kwa kiasi hiki

- Watanzania Millioni 44 wametuchagua CCM kutawala, nyie 46 hamkuchaguliwa kushika dola sasa ndio mtajua nani ana dola le mburulazzzz!!

Le Mutuz
 
Gazeti la kidaku mkaanza kutangaza kupandisha posho,baada ya kuona ukawa wanajadiliana nanyi kurudi bungeni,
Mkaona hii ndio propaganda ya kutumia,ccm bana mmefulia,
Tutaweka vyote wazi muda ukifika,endeleeni kujichanganya.Bila katiba ya wananchi hamtoki,na wakiingia kisha mlete zenu baadae watz muwahadae kuwa ukawa wamechota hela wametoka tena,tutawanyoosha tu 1992 si ya 2014

- hawa wakileta za kuleta watapigwa tu kudadeki katiba itapita tu!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom