UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Lengo lako hasa ni nini ? Unapopost hapa fikiria kwanza sio kukurupuka kuandika ujinga tukujibu.
 
Serikali za mtaa ukawa walishinda hilo halina ubishi! Isingekuwa ile mizengwe ya kupita bila kupingwa na baadhi ya sehemu kutangazwa washindi chini ya usimamizi wa polisi. Bila hivo ingekuwa 80% kwa 20% za ccm. Tusubirie mafuriko!
 
Acha kujitoa ufahamu..TingTinga linakubalika zaidi..kazi zake zinaonekana...huyo fisadi ataishia kiwa rais wa Longido
 
Acha kujitoa ufahamu..TingTinga linakubalika zaidi..kazi zake zinaonekana...huyo fisadi ataishia kiwa rais wa Longido

DuppyConqueror, sdhani kama hayo usemayo ni kweli. Tingatinga kwa kiingereza ni 'Bulldozer' and people with good brains can't accept to be bulldozed. Sawa kaka (au dada, sijui).
 
Maneno yenyewe umetoa vijiweni,sioni jipya.siku zote watu huona ubaya kuliko wema,wenye shukrani tumeona kazi zake,sitakuwa mnafiki October nitakupa kura yangu.
 
kila nikipita mtaani watu wanaulizana kisu mnacho cha kuichinjia ccm! magufuli hana issue kabisa utadhani hajulikani.
 
Lengo lako hasa ni nini ? Unapopost hapa fikiria kwanza sio kukurupuka kuandika ujinga tukujibu.


Sio kukurupuka..wew ndio umekurupuka kujibu kitu ambacho hujakielewa..unatakiwa utuambie wananchi huko site kwako wanawazungumziaje hawa wawili,lowasa na mguful??
 
Wandugu,

Hebu tupeane habari zisizo za kishabiki wali kipendeleo kuhusu maneno yanayosemwa mtaani kuuhusu hawa wa gombea nikimaanisha nguvu zao na mapungufu yao.

Simaanishi uchambuzi yakinifu bali naamaanisha maneno ya kimtaani,

1. ''Lowasa alitumia pesa nyingi sana kwenye safari ya matumaini yawezekana amerudishiwa gharama zake na akaongezewa cha juu ili aje avuruge upinzani.... kama ni kweli amekuja upinzani kugombea basi mimi nitabeba familia yangu yote kwenda kumpigia kura ya urais... HAYA MANENO NILIYASIKIA KATIKA SALUNI MOJA WAKATI NANYOA

2. ''Magufuli alisema kama hatuwezi kulipia kivuko Tupige Mbizi, Tunaomba na yeye apige Mbizi kufuata kura zetu kigamboni... HAYA MANENO NILISIKIA KATIKA BAR MOJA KONONDONI

3.

4.

5.

Ki ujumla vijiwe vingi wanaonekana kumkubali Lowasa zaidi.

vipi huku kwenu.

"Babu Mamvi kaenda ukawa,aisee kesho ntaenda kujiandikisha,Nilikua disapointed sana".Mpiga Debe kituo cha Makumbusho,Dar es Salaam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom