dsm huku ni lowassa tu na ukawa.
Lowassa Fisi
HigherGround Your Name resembles your Thinking Mkuu. Nimeipenda sana hiiHabari za mtaani' innuendo' kama huzijui! hata katika organization zinahusika sana, kama wewe ni manager na hujali nini wafanyakazi wako wanaongea katika vikao visivyo rasmi uongozi wako unakuwa kwenye msitakabali mbaya, kwani siku moja unaweza kuta wamesha kugomea kufanya kitu fulani chamsingi sana katika maendeleo ya organization yako.
Ni sawa na mtazamo wa mtu anayekataa yale yanayosemwa vijiweni bila kung'amua kuwa ya vijiweni ndo yatafanya ujumla wa maamuzi kwa wanainchi kwa sababu siku zote wataongea kinachowagusa na ndicho kitakachokuwa base ya maamuzi yao
huku kwetu magufuli watu hawamtambui !!!!!!!
HigherGround Your Name resembles your Thinking Mkuu. Nimeipenda sana hii
huyu mzee aliyehama chama huko ikulu kuna nini anachofuata maana tunaona anatumia nguvu kubwa sana. ASIJE AKATUUZA HUYU.
Wandugu,
Hebu tupeane habari zisizo za kishabiki wali kipendeleo kuhusu maneno yanayosemwa mtaani kuuhusu hawa wa gombea nikimaanisha nguvu zao na mapungufu yao.
Simaanishi uchambuzi yakinifu bali naamaanisha maneno ya kimtaani,
1. ''Lowasa alitumia pesa nyingi sana kwenye safari ya matumaini yawezekana amerudishiwa gharama zake na akaongezewa cha juu ili aje avuruge upinzani.... kama ni kweli amekuja upinzani kugombea basi mimi nitabeba familia yangu yote kwenda kumpigia kura ya urais... HAYA MANENO NILIYASIKIA KATIKA SALUNI MOJA WAKATI NANYOA
2. ''Magufuli alisema kama hatuwezi kulipia kivuko Tupige Mbizi, Tunaomba na yeye apige Mbizi kufuata kura zetu kigamboni... HAYA MANENO NILISIKIA KATIKA BAR MOJA KONONDONI
3.
4.
5.
Ki ujumla vijiwe vingi wanaonekana kumkubali Lowasa zaidi.
vipi huku kwenu.