UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
CCM Tunajaribu kuonyesha Democrasia
Kuwa chama hakimilikiwi na mtu au kundi lolote
Ndio maana tumetoa uhuru wa kila mtu
Kuonyesha nia tofauti na vyama vingine.
Pia kuonyesha kila mtu anauhuru katka chama

CUF- Mtiania ni yuleyule miaka yote
TLP- nani?
CDM- wale wale

TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA 👇👇👇
----------------------------------------------
Katika usomaji wangu nikaipata hii...
1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa
Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce
Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania
 
Ukipata like zaidi ya moja urudi kuwashukuru
 
taa nyekundu umeazima akili yako au!? acha ukabila wewe.! jisikie hata aibu unaongea maneno ya kipuuzi hivyo!?
 
Last edited by a moderator:
Wandugu,

Hebu tupeane habari zisizo za kishabiki wali kipendeleo kuhusu maneno yanayosemwa mtaani kuuhusu hawa wa gombea nikimaanisha nguvu zao na mapungufu yao.

Simaanishi uchambuzi yakinifu bali naamaanisha maneno ya kimtaani,

1. ''Lowassa alitumia pesa nyingi sana kwenye safari ya matumaini yawezekana amerudishiwa gharama zake na akaongezewa cha juu ili aje avuruge upinzani.... kama ni kweli amekuja upinzani kugombea basi mimi nitabeba familia yangu yote kwenda kumpigia kura ya urais... HAYA MANENO NILIYASIKIA KATIKA SALUNI MOJA WAKATI NANYOA

2. ''Magufuli alisema kama hatuwezi kulipia kivuko Tupige Mbizi, Tunaomba na yeye apige Mbizi kufuata kura zetu kigamboni... HAYA MANENO NILISIKIA KATIKA BAR MOJA KONONDONI

3.

4.

5.

Ki ujumla vijiwe vingi wanaonekana kumkubali Lowasa zaidi.

vipi huku kwenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom