kandere
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 313
- 213
Kuna jamaa yangu hapa mtaani ni cdm damu, Sasa chaguo Iake jamaa ni Iowassa kabIa hajakatwa, Sasa EL alipo katwa magufuli akapita Jamaa aIifurahi sana. Sasa basi EL alipohamia cdm, Jamaa akasema "hakuna cha magufuIi wala nani, Mimi ni Safari ya matumaini tu" hapo nikajua kweli EL anakubalika na wengi.
Ni Mtazamo tu.
Ni Mtazamo tu.