Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Sitawaangusha Hapakazitu Magufuli
Mpaka sasa umeshampigia kura Pombe mara ishirini, hivi ndivyo mnavyomfariji Mr Pombe
Sitawaangusha Hapakazitu Magufuli
Kutokana na mvutano kuhusu matokeo ya utafiti uliotolewa na twaeza sasa andika jina la mgombea wa uraisi utayempa kura yako kama uchaguzi ukifanyika leo.
Tutapiga kura kwa siku tatu tuone nani kapata nini.

km nimeolewa njoo uisilixie bomba hapo nyuma ya mtungi wa gesi kutoka ntwara newala