UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
kwel ukawa ndiyo mpngo mzma, lakn hz kura zisiwe tu kwenye mtandao na jf yabid tufanye kweli tuwaondoe pale magogoni oct25
 
Yani hata mfanyeje mi napenda kuwaambia kuwa bila sisi kuomba sana kwa mwenyezi Mungu basi Tanzania itakuwa chini ya freemason na hii ni kweli we ona watu wanavyomkubali lowassa yani tumeshaingiwa na pepo mbaya sasa
 
Mwananchi wa kawaida ni ngumu sana kumtoa ktk fikra za ccm...wengi bado wanaishi zama za chama kimoja ccm...hawaamini ushindi kwa upinzani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom