Magufuli
John Pombe Magufuli
John P Magufuli
J.Magufuli
J.P.Magufuli
John.P.Magufuli
John.Pombe.Magufuli
#Hapakazitu Twende Na Magufuli
#Hapakazitu Magufuli For Change
Magufuli Magufuli
Magufuli Magufuli Magufuli
Sitawaangusha Hapakazitu Magufuli
Magufuli Mbele Kwa Mbele
Kutokana na mvutano kuhusu matokeo ya utafiti uliotolewa na twaeza sasa andika jina la mgombea wa uraisi utayempa kura yako kama uchaguzi ukifanyika leo.
Tutapiga kura kwa siku tatu tuone nani kapata nini.
Kwani wewe umekatazwa kuwa Na ID mbili.acha mibangiKwani Nyie Ndo Nec,leo Ni Oct 25,mmeweka Limitations Gani?Mimi Na Wenye Ids Mbilimbili Tofauti Yetu Ipo Wap?
we bado mtoto sana, watu wako serious we unaleta utani. umepiga kura zaidi ya kumi afu unaona rahaaaaaa!
Haya matokeo yatabandikwa Ufipa?Kura itayohesabiwa ni moja. ...ukishapiga kura usirudie hazitahesabiwa. ..majumuisho ni jumamosi saa 12 jioni
Asante Sikuzidi Wewe Unaefurahia Huu Uzi,kama Unaakili Mngetoka Mkaenda Kufanya Tafiti Huko Sio Mtandaoni
nachora
ndio maana nimesema we bado mtoto ka si utoto. kwani tutapataje mshindi?
Sawa Mimi Mtoto Wewe Mkubwa Unayejidanganya Kura Na Tafiti Zinafanyika Mtandaoni Tangu Lini?Humu Watu Wana Ids Zaidi Ya Moja Unasema Eti Wapo Serious??
Kura itayohesabiwa ni moja. ...ukishapiga kura usirudie hazitahesabiwa. ..majumuisho ni jumamosi saa 12 jioni