UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Ujinga huu kiboko ... Tony Antony ameonyesha exactly CCM wanayotegemea... Mtu mmoja kupiga kura mara 50 ... Bado hazitatosha mwaka huu .. Lowassa hazuiliki ...
 
Haya Napige Magufuli

Wewe nikielelezo tosha kuonyesha bao la mkono linavyofanya kazi. Kwanini unarudia mara nyingi. Naamini hata kura yako itaenda kuharibika tarehe 25. Pia naona unapagawa kila unapoona watu wanavote upande mwingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom