David Malima
Member
- Dec 23, 2011
- 77
- 31
Lowassa
Kura inayokubalika ni moja tu, anayerudia maana yake hata kura ya kwanza itakuwa imeharibika!Mbona jamaa wa magufuli wanarudia hata mara nne
LOWWASA
So far,magufuli kura 10 lowassa 40.
Wewe nikielelezo tosha kuonyesha bao la mkono linavyofanya kazi. Kwanini unarudia mara nyingi. Naamini hata kura yako itaenda kuharibika tarehe 25. Pia naona unapagawa kila unapoona watu wanavote upande mwingine.
Kwani Nyie Ndo Nec,leo Ni Oct 25,mmeweka Limitations Gani?Mimi Na Wenye Ids Mbilimbili Tofauti Yetu Ipo Wap?