MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
Kuwaonyesha Nyie Ni Wapumbavu Na Malofa Completely...Twaweza Mnawapinga Kwa Kupiga Kura Mtandaoni?
kwan wew hujapga kura humu?!?
mpumbavu ni mpumbav tu
ndio maana tunasema
elimu
elimu
elimu
Kuwaonyesha Nyie Ni Wapumbavu Na Malofa Completely...Twaweza Mnawapinga Kwa Kupiga Kura Mtandaoni?
Acha upumbavu wew utapgaje kura mtu mmoja mara kumi kumi¿
huu ni ushenx na inaonesha jins gan mtakavyoxhindwa vbayA kenge nyie
wapumbavu na malofa tumezinduka tunataka mabadilikoHahahahah Hakuna Nguvu Yoyote Ya Umma Kuna Wapumbavu Na Malofa Tu
Mbona jamaa wa magufuli wanarudia hata mara nne
LOWWASA
Kuwaonyesha Nyie Ni Wapumbavu Na Malofa Completely...Twaweza Mnawapinga Kwa Kupiga Kura Mtandaoni?
Lowasa atakupa elimu bora ili uwe unaelewa.unaambiwa kura ni moja tu.
We sana sana tegemea kura za vijijini ambako hata kusoma watu hawujui vizuri, bado wanatishwa na mabalozi, lakini kura za waelewa huna.
kwa hiyo kwa sababu twaweza wamefanya tafiti haruhusi mtu mwingine kufanya tafiti?? alafu si kila aliyeshiriki hapa kapinga utafiti wa twaweza. unahitaji elimu kidogo.