huyu Tony anashindana na nguvu ya umma!! ✌ ✌
Kamanda hii kura yako imeharibika hamna mgombea mwenye ilo jina.Lowasa
Kamanda andika na hii...
25% ya wananchi walisema kwamba wananajisikia wako karibu zaidi na Chadema kuliko vyama vingine #SautizaWananchi.
Teh teh teh
62% ya wananchi walisema kwamba wananajisikia wako karibu zaidi na CCM kuliko vyama vingine #SautizaWananchi.
waliopiga mara mbili kura zao zifutwe.
Wewe Nec?
Hadi nimecheka jf wote ni lowasa duh.twaweza wachungulie na huku jf
Lowassa
Lowasa
Lowassa..
Lowasa
Kamanda hii kura yako imeharibika hamna mgombea mwenye ilo jina.
Nakupa offers piga kura mbili zingine.
Teh teh teh
ndio maana nimesema we bado mtoto ka si utoto. kwani tutapataje mshindi?Unaanzaje Kuzifuta?
Kwa umaarufu wa Lowassa,wapo wanaCCM(hasa hao wa vijijini mnaojidai nao) watakaompigia kura wakidhani safari hii CCM wamesimamisha wagombea wawili; hapo ndipo kutakuwapo na kilio na kutoa makamasi kwa CCM. Endeleeni na matwaweza yenu, shauri yenu.
Tehehehe hehe, "unaandika lakini"?