Hon.John P Magufuli
Ndg.John P Magufuli
Ndg.John Pombe Magufuli
Kamanda naona umepagwa ghafla kulikoni tena unachukuwa posts zangu unazitolea maelezo soma hii.Ahaahhaha haha, vipi tena wakuu, mimejikuta na nyie "munapagauwa" ghafla.??
Ingekuwa mimi,bora kubaki bila chama kuliko kuwa mpweke hivi.
Kamanda andika na hii...Tehehehe hehe, "unaandika lakini"?
Kutokana na mvutano kuhusu matokeo ya utafiti uliotolewa na twaeza sasa andika jina la mgombea wa uraisi utayempa kura yako kama uchaguzi ukifanyika leo.
Tutapiga kura kwa siku tatu tuone nani kapata nini.
Unahangaika wewe,kama Ni mimba ya magufuli imekuingia kwelikweli
mbona wengine wanapiga mara mbilimbili? kura zao zimeharibika. piga mara moja tu