UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
kutokana na mvutano kuhusu matokeo ya utafiti uliotolewa na twaeza sasa andika jina la mgombea wa uraisi utayempa kura yako kama uchaguzi ukifanyika leo.


Tutapiga kura kwa siku tatu tuone nani kapata nini.

lowassa
 
Twaweza Hawakufanya Tafiti Mtandaoni Usiwe Mjinga Wewe...Unasingizia Eti Mi Mtoto Afu Wewe Kubwa Zima Unakaa Na Kujidanganya Mwenyewe Wewe?Mnajisifu Mnawasomi Kumbe Empty Kabisa,tafiti Unafanya Mtandaoni Umesikia Tuzo Za Kili?

sasa umeshiriki ili iweje? wewe uliyeshiriki tukuiteje? bado unaendeleza utoto!!
 
wako wapi?hawa wenye ids mbilimbili?hivi wewe ni mamantilie,bodaboda,machinga?kwani umesikia wapiga kura ni walio jf peke yao?

We sana sana tegemea kura za vijijini ambako hata kusoma watu hawujui vizuri, bado wanatishwa na mabalozi, lakini kura za waelewa huna.
 
Nawewe Ungeona Hili Jambo Dogo,ungekubali Za Twaweza Atleast Zile Hazikubase Huku Mitandaoni...

kwa hiyo kwa sababu twaweza wamefanya tafiti haruhusi mtu mwingine kufanya tafiti?? alafu si kila aliyeshiriki hapa kapinga utafiti wa twaweza. unahitaji elimu kidogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom