Naona hili genge limeamua kuhubiri mabadiliko hadi Guinea.
Kweli tabia ya genge ni disorganisation.
Naona zinatafutwa justification mbalimbali za kujaribu kulirasimisha genge hili lakini haiwezi kufua dafu.
Wanaoingia kwenye genge hili kwa sasa ni fikra zilizochoka na kutuchosha kama watanzania.
unahitaji kupata tiba ya meningitis kwanza kisha urudi hapa
Kitu ambacho umesahau na hadith zako ndeefu ni kwamba watu walishafanya maamuzi miaka mingi sana wanasubiri tarehe tu,ukawa hata wangeweka jiwe watu watalipigia hilo hilo jiwe.
Na "fulsa" mbona hujatolea ufafanuzi?
Dah! unanidhihirishia kuwa ujinga upo kwenye damu yako.