Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,535
wewe ajuza achana mimi
Naomba kuuliza hivi ajuza maana yake nini
wewe ajuza achana mimi
Mimi nilikuwa muumini makini wa Chama makini cha upinzani kilichojijenga taratibu mpaka kuonekana kuwa pengine kinaweza kuwa mbadala wa CCM.
CHADEMA ilikuwa taratibu bila misukosuko mingi mpaka pale kilipoanza kuonekana pengine kinaweza kuwa mbadala wa CCM.
Wananchi walianza kazi kwa umakini kabisa wa kuipa chadema majimbo ya ubunge kadhaa na serikali za mitaa.
Wananchi walianza kuitambua na kuisaidia chadema kwa michango ya kadiri mbalimbali.
Ni maumivu makali kwa CHADEMA kupoteza focus na kutaka kukimbilia kile ambacho wananchi hawakukiandaa au kukipanga kwa ajili yao.
Hii ina maana Chadema itarudi miaka 20 nyuma na mbaya zaidi kuiacha Tanzania bila mbadala wa Chama bora cha upinzani.
KUHUSU GENGE LA UKAWA:
Itoshe kusema kuwa UKAWA ni genge hatari sana kwa usalama na Ustawi wa Taifa letu kwa sababu au chambuzi zifuatazo:
1 - Edward Lowassa:
Yuko serious katika kuutaka urais na alipenda kwa udi na uvumba kuupata urais kupitia ccm ingawa ilishindikana iwe kwa fitina au kwa kukosa vigezo. Huyu yuko Ukawa kwa lengo la urais tu na anaitumia chadema kama chombo cha kuupata urais. Anaweza akawa na sababu zake lakini sitajadili kwa leo. Lakini haipendi Chadema au UKAWA.
2 - Maalim Seif na CUF:
Huyu naye ni mtaka urais tu lakini anaweza kuwa na ajenda yake ile ile iliyobebwa na CUF Zanzibar yaani kuitaka Zanzibar huru. Alitulizwa baada ya kupewa cheo lakini baada ya vuguvugu la katiba na shinikizo la kichama amejikuta akianza chokochoko upya.
Pia tusisahau CUF inaungwa mkono na makundi kama yale ya uamsho kiasi cha kumfanya mgombea urais wa UKAWA kutamka hadharani kuwa atawaachia huru watuhumiwa wa ugaidi.
3 - CHADEMA Asilia na Maslahi:
Kuna kundi la wanachadema walio serious na kutaka mabadiliko ya kweli.kundi hili limekatishwa tamaa na mambo makubwa mawili yaliyotokea yaani kumpokea lowassa bila maelezo ya kueleweka na kumpa kijiti cha kugombea urais,pili kukatwa kwa Dr Slaa na kutothaminiwa kwa mchango wake ndani ya Chadema.
Chadema maslahi ni kina Mbowe na washkaji kibao kutoka pande za Arusha na Moshi. Hawa wako kimaslahi zaidi, Issue kwao ni chama kinaingizaje fedha au mikutano inaingizaje fedha au nguo na adverts za chama zinaingizaje fedha. Hawa wanaendesha Chadema kama kamati ya harusi za kichaga.
4 - Team Lowassa, Ulipo tupo na 4UMovement:
Hili ni genge ndani ya genge! Katika kundi hili kuna watoto wa kishua wanaosubiri kupiga dili kama za watoto wa vigogo.
Katika kundi hili kuna waliokosa ajira na fursa na hivyo kujishikiza kwa lowassa ili ikitokea kapata na wao watoke(hawajui uhuni wa mwanasiasa)
Katika kundi hili kuna watoto ambao wako tu kwenye age yao ya 'fantancy' na kuburudika na maisha.
5 - WanaCCM viongozi waliomfuata Lowassa:
Hapa kuna mchanganyiko wa waliokatwa kwa kuwa ni makapi haswa. Pia wako walioshtukia dalili za kukosa wakigombea kupitia CCM(Lembeli).
Pia wapo wanaojaribu kuibuka upya kwa mgongo wa Lowassa. Humu pia kuna mashushu kutoka CCM.
6 - NCCR na Mbatia na NLD:
Hili ni kundi lisilojielewa linahitaji nini. Mbatia anaweza kuwa ni mpiga dili flani hivi na pia baada ya kuonja ubunge wa kuteuliwa anatamani angepata ubunge ili aweke mambo sawa.
7 - Wanaharakati na waandishi:
Hawa wako katika kutegemea nafasi za kuteuliwa kama ilivyozoeleka huku wakisahau kuna vijana wengi na wenye weledi. Wengi wao wameumizwa na tendo la CCM kukata na kuvunja makundi na option waliyobakiwa nayo ni kujipendekeza UKAWA.
8 - Wafanyabiashara:
Hawana uhakika kabisa wa EL kushinda nje ya CCM na wamebaki kuuma na kupuliza.
Ingawa kuna wachache bado wanagamble kuendelea kuamini katika EL kuchukua kijiti.
9 - Wachungaji/Maaskofu:
Ni wachache na wanajaribu kutumia karata ya zamu ya mlutheri lakini kimsingi wanataka kutetea matumbo yao tu.
Ukiwa na genge la namna hii na likiwa halina uongozi au miongozo inayoeleweka utakuwa unaongelea nchi iliyoanguka. Ni lazima genge hilo lipate Kiongozi na Muongozo kwanza ndio ufikirie kuwapa nchi.
mimi nilikuwa muumini makini wa chama makini cha upinzani kilichojijenga taratibu mpaka kuonekana kuwa pengine kinaweza kuwa mbadala wa ccm.
Chadema ilikuwa taratibu bila misukosuko mingi mpaka pale kilipoanza kuonekana pengine kinaweza kuwa mbadala wa ccm.
Wananchi walianza kazi kwa umakini kabisa wa kuipa chadema majimbo ya ubunge kadhaa na serikali za mitaa.
Wananchi walianza kuitambua na kuisaidia chadema kwa michango ya kadiri mbalimbali.
Ni maumivu makali kwa chadema kupoteza focus na kutaka kukimbilia kile ambacho wananchi hawakukiandaa au kukipanga kwa ajili yao.
Hii ina maana chadema itarudi miaka 20 nyuma na mbaya zaidi kuiacha tanzania bila mbadala wa chama bora cha upinzani.
Kuhusu genge la ukawa:
Itoshe kusema kuwa ukawa ni genge hatari sana kwa usalama na ustawi wa taifa letu kwa sababu au chambuzi zifuatazo:
1 - edward lowassa:
yuko serious katika kuutaka urais na alipenda kwa udi na uvumba kuupata urais kupitia ccm ingawa ilishindikana iwe kwa fitina au kwa kukosa vigezo. Huyu yuko ukawa kwa lengo la urais tu na anaitumia chadema kama chombo cha kuupata urais. Anaweza akawa na sababu zake lakini sitajadili kwa leo. Lakini haipendi chadema au ukawa.
2 - maalim seif na cuf:
huyu naye ni mtaka urais tu lakini anaweza kuwa na ajenda yake ile ile iliyobebwa na cuf zanzibar yaani kuitaka zanzibar huru. Alitulizwa baada ya kupewa cheo lakini baada ya vuguvugu la katiba na shinikizo la kichama amejikuta akianza chokochoko upya.
Pia tusisahau cuf inaungwa mkono na makundi kama yale ya uamsho kiasi cha kumfanya mgombea urais wa ukawa kutamka hadharani kuwa atawaachia huru watuhumiwa wa ugaidi.
3 - chadema asilia na maslahi:
kuna kundi la wanachadema walio serious na kutaka mabadiliko ya kweli.kundi hili limekatishwa tamaa na mambo makubwa mawili yaliyotokea yaani kumpokea lowassa bila maelezo ya kueleweka na kumpa kijiti cha kugombea urais,pili kukatwa kwa dr slaa na kutothaminiwa kwa mchango wake ndani ya chadema.
Chadema maslahi ni kina mbowe na washkaji kibao kutoka pande za arusha na moshi. Hawa wako kimaslahi zaidi, issue kwao ni chama kinaingizaje fedha au mikutano inaingizaje fedha au nguo na adverts za chama zinaingizaje fedha. Hawa wanaendesha chadema kama kamati ya harusi za kichaga.
4 - team lowassa, ulipo tupo na 4umovement:
hili ni genge ndani ya genge! Katika kundi hili kuna watoto wa kishua wanaosubiri kupiga dili kama za watoto wa vigogo.
Katika kundi hili kuna waliokosa ajira na fursa na hivyo kujishikiza kwa lowassa ili ikitokea kapata na wao watoke(hawajui uhuni wa mwanasiasa)
katika kundi hili kuna watoto ambao wako tu kwenye age yao ya 'fantancy' na kuburudika na maisha.
5 - wanaccm viongozi waliomfuata lowassa:
hapa kuna mchanganyiko wa waliokatwa kwa kuwa ni makapi haswa. Pia wako walioshtukia dalili za kukosa wakigombea kupitia ccm(lembeli).
Pia wapo wanaojaribu kuibuka upya kwa mgongo wa lowassa. Humu pia kuna mashushu kutoka ccm.
6 - nccr na mbatia na nld:
hili ni kundi lisilojielewa linahitaji nini. Mbatia anaweza kuwa ni mpiga dili flani hivi na pia baada ya kuonja ubunge wa kuteuliwa anatamani angepata ubunge ili aweke mambo sawa.
7 - wanaharakati na waandishi:
hawa wako katika kutegemea nafasi za kuteuliwa kama ilivyozoeleka huku wakisahau kuna vijana wengi na wenye weledi. Wengi wao wameumizwa na tendo la ccm kukata na kuvunja makundi na option waliyobakiwa nayo ni kujipendekeza ukawa.
8 - wafanyabiashara:
hawana uhakika kabisa wa el kushinda nje ya ccm na wamebaki kuuma na kupuliza.
Ingawa kuna wachache bado wanagamble kuendelea kuamini katika el kuchukua kijiti.
9 - wachungaji/maaskofu:
ni wachache na wanajaribu kutumia karata ya zamu ya mlutheri lakini kimsingi wanataka kutetea matumbo yao tu.
Ukiwa na genge la namna hii na likiwa halina uongozi au miongozo inayoeleweka utakuwa unaongelea nchi iliyoanguka. Ni lazima genge hilo lipate kiongozi na muongozo kwanza ndio ufikirie kuwapa nchi.
We faizafoxy wee, hebu sikiliza hotuba za magufuli wakati huu wa kampeni ndo utajua raisi wako mtarajiwa akiongea kiswahili, mbona humkosoi, kwenye r anaweka l, lakini tunanyamaza tunaelewa kakusudia nini,
Ungesema kwa Maslahi Mapana ya MaCCM Watanzania Wangekuelewa. CCM ya Leo No Kirusi Hatari Sana...Hatudanganyiki Tunakwenda Name Mh. Lowassa Hanna Namna Iwayo yoyote.
Ndg meningitis,kwa taarifa tu ni kuwa lowassa na wafuasi wake wote wapo kila kona hasa kwenye tasnia nzm ya hbr,blogs,forums mbalimbali na vyombo vyote vya hbr vimetekwa na huyu ndg,lengo kuu ni kumsafisha na kupinga kila lisemwalo hasa likiwa nje au linapopingana na ndg lowassa na wengi wao ni hayo makundi uliyoyasema wao wapo tayari kwa lolote alimradi lowassa apate madaraka kivyovyote vile.
Suala la uadilifu ktk uongozi kwao its not an issue anymore,wanataka Mabadiliko no matter what,hivyo kuelezea udhaifu na shortfalls za cdm na ukawa na ni kupoteza muda na utapingwa sana,imani yao ni kuwa lowassa akiingia madarakani maisha yao yatabadilika kwasababu wengi wao wako hoi na wana tamaa ya maisha makubwa,wanaamini lowassa atabadili maisha yao kutoka ktk shida walizo nazo na kuwa matajiri,kiufupi wengi wao wana akili za nyumbu hivyo ht usemaje ni kz bure unapoteza muda wako
Mkuu umenena,mi siwezi kushabikia kitu ambacho sikielewi kabisa.. Vijana baada ya kufanya kazi hivi unafikiri atakusaidia ww. Hamtaki shule angalia current situation ya wanafunzi wetu. Elimu bure pesa anazitoa wapi.?Elimu ya chuo ni gharama tofauti na level za O level.Tafakari mtanzania na ufanye maamuzi sahihi.