Elections 2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

watanzania ndio wamesha amua kuwapa nchi. Hao hao na mimi nikiwa m1 wao.

Ccm hapana ni sumu weka mbali na watoto.
 
meningitis ccm ndio genege hatari zaidi kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya tanzania. kila kona wagombea wa ccm wamepita kwa kugawa rushwa na wengine kwa kuwahadaa viongozi wa dini. na kama uliona jana uwanja wa taifa kijana wenu wa ccm alijifanya anawaingiza watu bure kwa hisani ya ccm nao wakamshushua kwamba kampeni za aina hiyo ni za kizamani. tupo makini na treni yetu inakaribia kufika mwisho wa reli ila na wewe uko nje unarusha kinyesi madirishani wakati terni ikipita. fahamu kuwa utachafua kiasi tu lakini sisi tutafika slama salimini. tulianza na mungu, tupo na mungu na tutamaliza na mung...oktoba 25 lazima tuiondoe ccm madarakani kwenye sanduku la kura
meningitis
 
Last edited by a moderator:
Hawana nia njema na watanzania wenyonge

mngekuwa na nia njema na wanyonge miaka 50+,hao wanyonge wanakufa kwa kukosa panadol tu, ni kina mama wangapi wamepoteza maisha kutoka na kukosekana huduma bora za kujifungua, zile guta mlizoziita ambulance ziko wapi? mngekuwa na huruma nao maji tu yangewashinda kuwapa? Bahati nzuri mwaka huu wamewashitukia ndio maana pamoja na propaganda zote mnazofanya hawasikii wala kuelewa, na mgejaribu hata kutumia akili kidogo tu, mngeachana na lowasa mkazanie kutoa sera tena, kwani kwa fitina mlizoishafanya mikutano ya UKAWA sasa ingepumulia mashine kama nyomi ya jana tabora, waulize wenzako wa ccm, wa tbr watakwambia jana kuna nini kilitokea
 
Narudia usichanganye siasa na afya kwa sababu utachemka.

Kwa maoni yako kipindupindu kimesababishwa na siasa mbaya za ccm?ina maana katika eneo kubwa la nchi ambalo halijapata kipindupindu basi kuna siasa safi za ccm?
Hiyo ndio conclusion uliyonayo...ndio maana nikakupa mifano ya magonjwa mengine yanayohusianishwa na Tabia na hali za kiuchumi na kukuonesha trends za magonjwa hayo.

Kama unachukulia sekta husika hazijafanya kazi kwa nini hujasikia kipindupindu Arusha au Mwanza au masaki mpaka sasa?

Ifike wakati tutenganishe siasa na utaalamu...hata USA na UK survellance ya kipindupindu inaendelea na haitashangaza kusikia kuna mlipuko wa kipindupindu.

Magufuli kaongelea afya kuhusu upatikanaji wa dawa...ni kweli dawa zinaibiwa especially katika level ya zahanati na vituo vya afya.

lakini kama ni mfuatiliaji Ilani ya CCM inaongelea kiuhalisia zaidi kuhusu universal coverage ya bima za afya,inaeleza kwa sasa tuko less than 20% na inaelekeza kuwa tunatakiwa kufika 30%,hizi ndio issues za Siasa ya Afya lakini ulivyokiongelea kipindupindu ulichanganya Afya na Siasa.








Mi nilidhani angetujibu kwa nn mtaan madawa yapo na hospital hamna na pia hatua atua walizochukua mpaka sasa kukabiliana na tatizo ilo.ila swala la yeye kutuuliza sis inasikitisha mpaka nashindwa kumtofautisha yeye na upinzani
 
Kinachojitokeza katika kampeni hadi sasa ni kwamba,
1)CCM NDIYO INAJITOKEZA WAZI KUPIGA VITA UFISADI

2) UKAWA INAWEKA BAYANA KULINDA NA KUKUZA UFISADI
 
meningitis

Ujinga umekuzidia ndio maana unaandika vitu visivyo na mashiko sasa fanya kitu hiki mwambie Magufuli atutajie wezi wa Escrow kupitia benki ya Stanbic,akifanya hivyo michango yangu yote kuanzia leo nitamsifu Magufuli na upepo wa kisiasa utabadilika walah nakwambia.
 
Last edited by a moderator:
Magufuri tu ndo mwenye kutuletea ya kweli, hawa wapigaji wa Ukawa wapelekwe muhimbiri
 
Ngoma ya watoto haikeshi.ile disorganisation ya Team lowassa imeshaingia ukawa rasmi.
 
Kwahiyo dr mo lowassa na timu yake kwa akili na imani yk akiwa rais ndo atabadilisha hayo usemayo?alikuwa waziri mkuu na ameshika nyadhifa nyingi sana serikalini,ni lini alikemea au kubadilisha hayo usemayo?kuwa mkweli acha blah blah

Hebu mfatilie kwenye mabunge alipokuwa mbunge, vuta record za nyuma msikilize vizuri, alivyoona jahazi linaenda mrama aliwaambia kabisa tunahitaji tufanye maamuzi magumu, lowasa kwa dhamana yake alikuwa hana uwezo wa kuwaadabisha mawaziri au watendaji mizigo, ni mkuu wa nchi tu, nimejaribu kufatilia records zake ma nimeona, sasa fatilia na wewe kisha tupe mrejesho, kuna wengi vigogo wanataka toka ccm, lakini wakitoka madhambi yao yataanikwa, kwani ccm hakuna msafi, hivyo watabaki kijani lakini akilini ni ukawa,
 
Kha maccm mnachekesha kwel hiv maguful na samia sululu wanapiga kampeni za kutaka kwenda wap? Mbingun? Au wap vile? Halaf hii tabia ya kutishia watu oo wapinzan wataondosha aman mkome kabisa! Aman nchi hii haipo kwa malofa bali kuna uvumilivu tu! Warudishen hawa maskin nyumban kwao jana wamelala kisesa baada ya katibu wa ccm wilaya ya magu kuwatoroka

Wamelala kisesa, sijaisikia hii mkuu, du hii kali
 
Hapana si spellings ni upumbavu na pia kuchafuliwa kwa Kiswahili na wanaojidai wazalendo kumbe hata uzalendo wa lugha yao ya taifa unawashinda.

We faizafoxy wee, hebu sikiliza hotuba za magufuli wakati huu wa kampeni ndo utajua raisi wako mtarajiwa akiongea kiswahili, mbona humkosoi, kwenye r anaweka l, lakini tunanyamaza tunaelewa kakusudia nini,
 
Back
Top Bottom