Elections 2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

Naona hili genge limeamua kuhubiri mabadiliko hadi Guinea.

Kweli tabia ya genge ni disorganisation.
 
Naona zinatafutwa justification mbalimbali za kujaribu kulirasimisha genge hili lakini haiwezi kufua dafu.

Wanaoingia kwenye genge hili kwa sasa ni fikra zilizochoka na kutuchosha kama watanzania.
 
Naona zinatafutwa justification mbalimbali za kujaribu kulirasimisha genge hili lakini haiwezi kufua dafu.

Wanaoingia kwenye genge hili kwa sasa ni fikra zilizochoka na kutuchosha kama watanzania.

unahitaji kupata tiba ya meningitis kwanza kisha urudi hapa
 
Last edited by a moderator:
Liwe genge au vyovyote,tumeaumua!Hakuna genge litakalokuja likawa jipya kuliko ccm!
 
meningitis

Unalizungumziaje lile GENGE LA MAHARAMIA linalolindwa na dola linalofanya uhalifu kisiasa,kiuchumi na kijamii? Unazungumziaje jinsi genge hili ambalo ni mkusanyiko wa mumiani linavyofilisi nchi?
 
Last edited by a moderator:
Kitu ambacho umesahau na hadith zako ndeefu ni kwamba watu walishafanya maamuzi miaka mingi sana wanasubiri tarehe tu,ukawa hata wangeweka jiwe watu watalipigia hilo hilo jiwe.
 
Na "fulsa" mbona hujatolea ufafanuzi?

Dah! unanidhihirishia kuwa ujinga upo kwenye damu yako.

Huyo kazuga....Hakuna jina la mtu 'Recture' ....huenda alikusudia kuandika Lecture akaamua kuzuga jina la baba
baada ya kumkosoa , hawa watu wa ma lelelelelele ni sheeeeeeeeeda
 
Inaonekana umetumwa na CCm uje utafute wanachama zaid ila kwa hapa umegonga mwamba upuuzi wako huko huko CCm na ufasadi wenu kwenda huko
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom