UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

Status
Not open for further replies.
c5660f82abe699d915cbf393ff10260e.jpg

Kinga ni bora kuliko kutibu.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh, leo ilikuwa kampeni zianze, kulikoni? Kazidiwa?

Wewe siyo tu kwamba.ni mwongo bali pia ni mpuu.zi. Jana kasema wazi kuwa atasema lini ataanza kampeni. Kama una mume au watoto wamepata hasara. Hustahili kuitwa mama wala mke.
 
Mkutano umeahirishwa mpaka kesho kutwa saa 10 kamili.
Source mtu toka ndani
 
UKAWA Wataitisha mkutano na wanabari leo saa 8 mchana na utarushwa live na ITV.

======
Habari za leo, uongozi wa Ukawa utakuwa na Mkutano na Wahariri leo saa 08:00 mchana Bahari Beach Hotel, kuzungumzia masuala makubwa kuhusu uchaguzi. Tafadhali fika bila kukosa.
Saa 8 si ndiyo hii
 
Binafsi naona mnawasumbua tu hawa Wahariri na Waandishi. Hamna jipya

Mandla.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom