asanteni sana makamanda kwa taharifa ila umeme wamesha uchukua,
Basha = Boss
Au ulikuwa hujuwi hilo?
Kinga ni bora kuliko kutibu.
Mkutano umeahirishwa mpaka kesho kutwa saa 10 kamili.
Source mtu toka ndani
Hahaaaa eti kinga bora kuliko tiba uwiiiiii!!! Kikombe cha babu kila mgonjwa alikinywea akiwemo mzee Magufuli!
mkuu nipo kwa tv hapa lakini sioni kitu hapa itv
Hata kampeni watakua wanafanyia hapo hapo bahari beach chezea fisadi
We faiza ms***** nn km huna la kupost funga bakuli lko ww mwenyewe mzma???? Acha ufala
Sijasahau hata, ila nakushangaa wewe unayeshupalia afya za wengine wakati ya kwako na viongozi wako ni dhaifu vilevile. Tukisema tutaje viongozi wa CCM wagonjwa hatutamaliza leo. Maana tuuanzia mamlaka ya juu hadi ya chini.Hata Ndesamburo alienda kugonga akatowa na helikopta, umesahau?
Labda TBC jaribu hapo.
Huna pakutokea. Jitu gonjwa linajulikana.
Kwa nini?
Kuanguka jukwaani isikusumbuwe sana, tatizo kutokufika jukwaani na au ukifika unabaki kama robot na kushindwa kuoengea na utapoweza kuongea humalizi dakika 5 na povu jeupe la madawa linakutoka.
Katibu mkuu wa chadomo, babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa yuko wapi?