UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

Status
Not open for further replies.
We faiza ms***** nn km huna la kupost funga bakuli lko ww mwenyewe mzma???? Acha ufala
 
UKAWA Wataitisha mkutano na wanabari leo saa 8 mchana na utarushwa live na ITV.

======
Habari za leo, uongozi wa Ukawa utakuwa na Mkutano na Wahariri leo saa 08:00 mchana Bahari Beach Hotel, kuzungumzia masuala makubwa kuhusu uchaguzi. Tafadhali fika bila kukosa.

Saa 8 ndo hii.
Lete habari
 
Kuanguka jukwaani isikusumbuwe sana, tatizo kutokufika jukwaani na au ukifika unabaki kama robot na kushindwa kuoengea na utapoweza kuongea humalizi dakika 5 na povu jeupe la madawa linakutoka.

Katibu mkuu wa chadomo, babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa yuko wapi?

Inaonekana una hati miliki ya uhai wako. Pole unajidanganya sana wewe mwanamke. Siku usiyoijua aliyekupa hiyo roho ataitaka. Haijalishi utakuwa unaumwa au la. Chunga kaulu zako. Wewe nawe ni mavumbi na mavumbini utarudi
 
Mkuu lakini lowasa kwani siyo mgonjwa?
d6f7a59ffca19ff2e7933765ec5d41f7.jpg
 
Jaman mbona saa 8 na sion dalil za hawa wakosaji
 
Kelele nyingi za nini jamani?muda ukiwadia mtasikia watu wazima wenye akili zao timamu wakizungumza mambo ya msingi kabisa yenye kulikomboa taifa hili,,unapomnyooshea kidole mwenzio kua mgonjwa hebu angalia vingapi vinakutazama wewe?wangapi wanakufa katika ajali leo na kuwaacha walio mahututi hospitali?kuwa mgonjwa siyo kufa..watu mnaenda mbali zaidi na kuingilia kazi ya muumba eti lowasa hatomaliza hata miaka mi5,tuchunge ndimi zetu jamani,we unaejiona mzima leo unaweza shindwa hata kuiona kesho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom