UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

Status
Not open for further replies.
wanaume wote ambao umeshalamba hela zao mbona hawakulalamikii au zilikuwa halali kwako kwa mauzo au biashara ipi?
 
UKAWA Wataitisha mkutano na wanabari leo saa 8 mchana na utarushwa live na ITV.

======
Habari za leo, uongozi wa Ukawa utakuwa na Mkutano na Wahariri leo saa 08:00 mchana Bahari Beach Hotel, kuzungumzia masuala makubwa kuhusu uchaguzi. Tafadhali fika bila kukosa.
Mkuu VP updates akuna kinachoendelea
 
Kuanguka jukwaani isikusumbuwe sana, tatizo kutokufika jukwaani na au ukifika unabaki kama robot na kushindwa kuoengea na utapoweza kuongea humalizi dakika 5 na povu jeupe la madawa linakutoka.

Katibu mkuu wa chadomo, babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa yuko wapi?

Wewe bibi kila kukicha heshima yako inazidi kupotea.
 
haa haa fisadi jk au chenge?

Hata makamanda wanajua nani fisadi. Wewe Ukawa umekuja juzi tu na mafuriko ya Lowasa

11817178_944520238938946_141133607570523888_n.jpg
 
Sijasahau hata, ila nakushangaa wewe unayeshupalia afya za wengine wakati ya kwako na viongozi wako ni dhaifu vilevile. Tukisema tutaje viongozi wa CCM wagonjwa hatutamaliza leo. Maana tuuanzia mamlaka ya juu hadi ya chini.

Niulizie kwa fox tezi dume husababishwa na nn?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom