FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Anajikinga na nini kwani huwezi kupata kinga bila kujua ugonjwa husika!
Kaa usile uone.
Anajikinga na nini kwani huwezi kupata kinga bila kujua ugonjwa husika!
La kushangaza zaidi vikao vyafanyiwa Lumumba mwenyekiti wao nae akiwepo.
ukawa wataitisha mkutano na wanabari leo saa 8 mchana na utarushwa live na itv.
======
habari za leo, uongozi wa ukawa utakuwa na mkutano na wahariri leo saa 08:00 mchana bahari beach hotel, kuzungumzia masuala makubwa kuhusu uchaguzi. Tafadhali fika bila kukosa.
Minajua Lowassa mgonjwa sasa kama ww unataarifa ya magufuli tuambieKwani Magufuli sio mgonjwa
Ishi Nyie Vikao Vyenu Mnavofanyia Hotelini,mbowe Mwnykt Wenu Hua Anakuwepo Wap?
Waseme ukweli lowassa mgonjwa
CCM wanatamani kuifunga ITV,washaianzia figisufigisu!!!
Kama ni ujio wa Sumaye,hii ni nzuri zaidi na ngumi ya Chembe kwa maCCM na kibaraka wao Makufuli!!
Wapo live sasa kupitia AZAM TV