UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

Status
Not open for further replies.
wewe baba yako ana afya nzuri? Basi shukuru Mungu kwa hilo!ila Kumbuka Mungu ni wa wote ulimi usikuponze!
Kwani ugonjwa tusi! babangu mzima ila mwezi wa 2 alikuwa mgonjwa, mungu si vile umuaziavyo wewe upuzi wako umshirikishe mungu kuugua kilamtu anaugua sasa lowassa kama babako akiugua asisemwe muweke chumbani asitoke kwa wtz
 
Amenza sasa sumaye kwa sasa na ana sema ana jambo la kulieleza taifa...

Anaongelea juu ya taarifa iliyo toka wiki iliyopita juu ya yeye kujitoa c.c.m.
Anasema sasa atajitoa maana hakuna mtu anaweza kufunga nadhiri na chama cha siasa ...
 
Ccm kwisha waziri mkuu wa pili anakiacha chama chao
 
KWANI TBC NI TV YA MTU BINAFSI AU YA TAIFA?
1.IKIFIKIA CHAMA KINA MILIKI MALI YA UMA KAMA ZAKE NI SHIDA NA UJINGA MKUBWA SANA...
m.f
VIWANJA VYA TAIFA
@ TV NA RADIO ZA TAIFA!N.K
KUNASHIDA HAPA...NDIO MAANA TUNATAKA MFUMO TUUBADILISHE...EBU TUACHIENI NCHI WENYE NCHI YETU..COMEON!

Siku hizi hamtumii tena neno "fisadi" ha ha ha ha eti mfumo! Juzi tu makamanda akina Yericko walimwaga ufisadi wa Mzee EL baada ya kuvuta mkwanja mnakuja na geresha ya neno "mfumo" kwani huo huwa ni jengo au nyumba? Mfumo ni watu na wote wenye "mfumo" huo wamenunua chadema yote na wanajipanga upya kupitia chadema.
Zamani ukivaa gwanda uliitwa "kamanda" siku hizi ukivaa gwanda tu unaitwa "FISADI" Ukweli ndio huo.
 
Last edited by a moderator:
Hana hofu na magufuli maana hakuhonga bali ana mapungufu makubwa tu na anapwaya...katika nafasi aliyopewa.
 
Dah! Umeme umekatwa jamani....mbona hii serikali sikivu inatunyima uhuru wa habari namna hii?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom