UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

Status
Not open for further replies.
mimi nipo IKWIRIRI LEO HUKU NI BENDERA ZA CUF KILA KONA.... BENDELA ZA CCM NI CHACHE SANA....MPAKA WENYE BODA BODA NI LOWASSA TU... HATA AKIANGUKA JUKWAANI ATACHAGULIWA YEYE TU. CCM VS JIWE NI BORA JIWE
 
Muda unakaribia ngoja tuone huenda wanataka kutoa timu ya kampeni, na kutaja vipaumbele vya ilani ya ukawa 2015 -2020
 
Arusha hamna umeme tunagemea kupata update kutoka kama makamanda Chademakwanza na Molemo na wengine ambayo watakuwa eneo la tukio #UKAWA NDO TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA
 
Last edited by a moderator:
wewe utakuwa ulishalaaniwa kutoka ndani ya tumbo la mama yako .Yule alikuwa anaanguka kwenye majukwaa wakati wa kampeni mbona husemi juzi tuu ametoka kutibu tezi dume ni mzima yule?

Naona umekosa hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Mwenye laana ni yule anaeuza utu wake kwa pesa - kumbuka hilo.
 
Ni ukweli ulio wazi maadili yameshamomonyoka kwa hali mbaya sana. Mtu kuugua au kifo lilikuwa jambo analoachiwa mungu. Nasikitika sana mtu una akili timamu (unaamini mungu ndiye kakuumba) lakini unakuwa na hati miliki ya afya ya binadamu mwezako kama Lowassa. Hivi mmesahau namna gani mheshimiwa raisi Kikwete alivyokuwa anaaguka kwenye mikutano Mara kwa Mara pamoja na kupakaziwa ni mwathirika wa UKIMWI. Mungu tusamehe.
Mkuu lakini lowasa kwani siyo mgonjwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom