UKAWA haya lazima yajadiliwe

UKAWA haya lazima yajadiliwe

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,613
Viti maalum watu wanaona na kusikia tuhuma ya hivyo viti kupewa mahawara na ndugu wa viongozi ziko mitaani kutolijadili hili halisaidii ni vizuri likajadiliwa ili watu wawe na imani taratibu zipi zimefuatwa?Na lingine la mawakala wa uchaguzi.

Why hawakupewa posho wala hata chakula?

Nani ana uhakika hawakuingiwa na tamaa?

Nani aliwasimamia?

Mbona hakukuwa na organisation ya kueleweka?

Why mawakala wengi hawakuwa hata na namba za simu za wagombea?

Mbona kiukweli kulikuwa na chaos tu na mazingira ya kurahisisha wizi wa kura?

Why haya mambo still hayajadiliwi?
 
Mkuu demokrasia huwa haitekelezwi cdm....rejea jinsi Lowasa alivyopachikwa kugombea urais.

Viti maalum mfumo au taratibu ni hizo hizo za kupachikana.

Sasa tunajiuliza kama demokrasia haitekelezwi chamani wataweza itekeleza taifani?

Naamini leo utashambuliwa sana kwa mada uliyoileta jukwaan
 
Weeeee! Bora demokrasia ipindishwe kuliko Joyce Mukya akose ubunge
 
Ninachokidhani mimi ni upungufu tu wa information

Ambazo sio zote utazipata JF

Kuna channel za kichama za kutoa na kupat taarifa

Maswali yako ya msingi lakini huwezi kujibiwa JF
 
mcubic

Wananchi sio wajinga
wanao lalamika wanazidi kuongezeka

ni lazima kujadili tu haya kupata solution..

vingine ni uzembe wa hali ya juu...

hivi unamuachaje wakala na njaa?
 
Last edited by a moderator:
Ninachokidhani mimi ni upungufu tu wa information

Ambazo sio zote utazipata JF

Kuna channel za kichama za kutoa na kupat taarifa

Maswali yako ya msingi lakini huwezi kujibiwa JF

Mimi nilikuwa na mawakala wa UKAWA nilishangaa mno malalamiko yao
sasa tusipopata majibu hapa nani ana uhakika kutakua na marekebisho?
 
Wananchi sio wajinga
wanao lalamika wanazidi kuongezeka

ni lazima kujadili tu haya kupata solution..

vingine ni uzembe wa hali ya juu...

hivi unamuachaje wakala na njaa?

Kisha unalalama umeibiwa kura
 
Ukiangalia sana CDM na CCM hakuna tofauti yoyote ni muendelezo wa upuuzi ule ule. Kilichonisababisha kuunga mkono UKAWA ni sababu tu ya kuona kulikuwa na tumaini zaidi la kuibadiri katiba yetu na kupata katiba bora kwa utawala wa UKAWA. Kuhusu upuuzi mwingine huo usinge epukika.
 
Kisha unalalama umeibiwa kura

Mimi nimeshangaa kutumia mabilioni ya pesa kwenye mambo mengine
na kusahau posho na chakula kwa mawakala
nimeshangaa sana
 
Ukiangalia sana CDM na CCM hakuna tofauti yoyote ni muendelezo wa upuuzi ule ule. Kilichonisababisha kuunga mkono UKAWA ni sababu tu ya kuona kulikuwa na tumaini zaidi la kuibadiri katiba yetu na kupata katiba bora kwa utawala wa UKAWA. Kuhusu upuuzi mwingine huo usinge epukika.

Uzembe wa kiasi hiki hautoi matumaini ya kubadilisha nchi mkipata nafasi
 
Ninachokidhani mimi ni upungufu tu wa information

Ambazo sio zote utazipata JF

Kuna channel za kichama za kutoa na kupat taarifa

Maswali yako ya msingi lakini huwezi kujibiwa JF
Kuna mambo mazito kama mbowe kuvuta pesa na kutuma ughaibuni yalijibiwa hapa..chadema kuna sehemu walikua wanaokota mawakala kwenye vituo vya daladala
 
The Boss
Nachojua wakati wa uteuzi wa wagombea wa ubunge majimbo mbalimbali ukiendelea kipindi kile, na wadada wa viti maalum nao walikua wakichaguana vilevile, tena kupitia sanduku la kura. Sasa sielewi hii imetoka wapi tena. Kwamba yale maoni ya wana-CDM kwenye sanduku la kura hayakuzingatiwa?
 
Last edited by a moderator:
Nachojua wakati wa uteuzi wa wagombea wa ubunge majimbo mbalimbali ukiendelea kipindi kile, na wadada wa viti maalum nao walikua wakichaguana vilevile, tena kupitia sanduku la kura. Sasa sielewi hii imetoka wapi tena. Kwamba yale maoni ya wana-CDM kwenye sanduku la kura hayakuzingatiwa??

Malalamiko yapo mengi tu
unless hizo taratibu hazikueleweka

la mawakala je ulijua mawakala walikaa njaa?
 
Kuna mambo mazito kama mbowe kuvuta pesa na kutuma ughaibuni yalijibiwa hapa..chadema kuna sehemu walikua wanaokota mawakala kwenye vituo vya daladala

Umeona sasa..kwa staili hiyo wasiibiwe?
 
Nina mashaka sana na level ya transparency/uwazi ndani ya chadema..hii inasikitisha sana, haswa kama chama chenyewe kinajinadi kuwa ni chama cha demokrasia
 
Mliambiwa msituchagulie viongozi cdm yametokea wameteuliwa wa ndiyo mzee hakuna kuhoji na mapambio kibao.watanzania wa leo siyo wa jana poleni
 
Mpaka sasa mimi namshangaa kijana msomi anayeunga mkono chadema. Siku ya kura vijana wamebaki wanapiga miayo tu huku wenzao wa ccm wakikunja pesa ya kutosha +chakula hapo kwann wakala asishawishike na kuuza matokeo?

Chadema sio chama makini ni kampuni ya flani ya kujitaftia pesa ya watu flani.
 
CCM mawakala walikuwa wanapelekewa vyakula na mapochopocho tele
CHADEMA hata mtu wa kuwaletea chakula hawamjui....
na posho wengi hawapewa....ni kujitolea tu mwanzo mwisho
halafu wanashangaa why wameshindwa.
 
Mimi nilikuwa na mawakala wa UKAWA nilishangaa mno malalamiko yao
sasa tusipopata majibu hapa nani ana uhakika kutakua na marekebisho?

Majibu huwezi Kupata HAPA mkuu....Kuna sehemu na channel za kupata majibu na SIO JF
 
Majibu huwezi Kupata HAPA mkuu....Kuna sehemu na channel za kupata majibu na SIO JF

Ila we huoni kulikuwa na uzembe wa hali ya juu?na si ajabu hakuna majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom