Kuna tetesi mawakala wa CDM kahama walitoka Arusha,, usiku wakuamkia uchaguzi wakakamatwa wakaswekwa rumande chama kikabaki hakina mawakala vituoni,,,
mkuu tulikuwa tukijaribu kuhoji mambo mengi sana ili kujenga na kurahisisha namna ya kuitoa CCM lakini tuliitwa ccm au wasaliti lakini tuliona hatari ya kushindwa na kuja kutoa visingizio rahisi...
CCM ni chama chenye uzoefu na chaguzi na kinajua ni vipi namna ya kuwin,, JPM ilikuwa karata nzuri kwao na walilipanga hili wazee ila tukadanganyana kaibuka kwa bahati mbaya..
kuishinda CCM inahitaji uwe umekomaa na akili nyingi na si akili hizi tunazoziona na huu utoto uliojaa wa vijana wenye tamaa ya kuwa viongozi kwa kete tu ya watu kuichoka CCM.. kwa manufaa ya taifa hili hizi akili za vijana wa CDM na viongozi wao sio watu wakuwapa nchi...