UKAWA haya lazima yajadiliwe

UKAWA haya lazima yajadiliwe

Mbona hutuelezei democrasia unayoitaka wewe? Una uhuru wa kujiunga na chama unachoamini kinakidhi mahitaji yako. Yasiyokuhusu achana nayo hata kama ndiyo ajira inakuweka mjini kama Lumumba bk 7

Wewe siyo mmoja wa wananchi hao kama mlikuwa na mtu mnamtaka muoeni apate matunzo .
 
Ila we huoni kulikuwa na uzembe wa hali ya juu?na si ajabu hakuna majibu

Inawezekana kabisa kukawa na uzembe mkubwa sana.....lakini mtu mwenye intention ya kurubunika hawezi kuzuiwa kwa posho anayopewa na chama chake ya sh 30 elfu kwa siku.Atarubunika tu hata akipewa chakula tele na posho.

Ishu iliyopo hapa ni kuwa MAJIBU yanaombwa kwenye sehemu sahihi?

Sijapingana na hoja zako
 
Chadema hawakuhitaji sana huduma ya mawakala hasa kwenye uchaguzi wa rais. Wale vijana wataalamu wa IT ndio walikuwa kila kitu. Wangechakachua matokeo wangeichanganya Tume ya Uchaguzi iyapokee matokeo yao yaliyochakachuliwa na Lowasa angeukwaa urais Jumatatu saa 4 asubuhi. Bahati mbaya saa 12 asubuhi Jumatatu wale wachakachuaji wakakamatwa na polisi kuanzia hapo Lowasa alijua 100% urais umeota mbawa. Honfera sana inteligensia ya polisi ya Tanzania.
The Boss
 
Last edited by a moderator:
Majibu huwezi Kupata HAPA mkuu....Kuna sehemu na channel za kupata majibu na SIO JF

Mbona Tumaini Makene huwa anaweka official communication hapa? Kwani mchakato wa kuchagua 'viti maalumu' una usiri/u nyeti gani? Kwanini kusiwe na transparency?
Kuhusu malipo ya mawakala....kwa hali hii sitashangaa kama nikisikia hao mawakala waliahidiwa kupewa kazi chadema itakaposhika dola
 
Mkuu huwezi kumlazimisha makene kuweka taarifa zote za michakato ya chama humu.....Sio utaratibu wa CHADEMA

Msitake kufanya ama hamjui

Mshangao wako endelea nao....CHADEMA kimejengwa kwa msingi wa kujitolea....sio POSHO
 
Ben aliwaita malofa mnafikiri aliwaita kwa makosa.

CHADEMA ni chama chenye viongozi wenye uwezo mdogo wa kuongoza.

N chama ambacho kinapendwa na Watanzania....Pamoja na wizi wenu lakini kina 40% voters support

Ni chama cha Upinzani ambacho ukichora graph yake ya ukuaji kimekuwa kikipanda tu
 
The Boss
NI kweli haya mambo ni ya kujadiliwa hasa viti maalum. Kinachowasaidi CCM ni taratibu zao za kupata wagombea wa viti maalum ziko wazi ata wakishinda watoto wa vigogo hauwezi kumlaumu Kinana au Nape kwa hilo.

Nimejaribu kuongea na wana UKAWA wengi kuhusu ili lakini wanajaribu kukwepa hii topic. Wanajua kuna tatizo lakini mahaba yao kwa UKAWA yamewafanya kuweka pamba masikioni.

Lakini viongozi wa UKAWA wanatakiwa wajue iko siku wataanza kusikiliza na ndio itakuwa mwisho wa Mahaba.
 
Haya mambo

yatawa cost so soon
 
Majibu huwezi Kupata HAPA mkuu....Kuna sehemu na channel za kupata majibu na SIO JF

Sio wote wenye uwezo wa kuzifikia hizo Chanel, mapenzi kwenye chama yasikufanye uwe Kipofu kwa mapungufu yake.

Watu maumivu yalianza kwenye ujio wa ajabu ajabu wa Lowassa, wengi waligumia kwa ndani, wachache tulijitokeza kupinga tukaitwa kila majina mabaya.

Tatizo la Chadema ni kuwa wanaopigania Chama ni wengine na wanaokuja kufaidika ni wengine!
 
The Boss

Tambua jambo 1 mkuu vyama vya upinzani vinafanyakazi kwenye mazingira magumu sana.....Nausione upinzani hapa ulipofikia %kubwa watu wanajitolea kwa mfano sisi kwenye Kata yetu siku tunaenda kuapishwa...watu wa CCM walipewa Posho elf 20 cc tuliamuamua kusupport UKAWA sababu tunaamini Hakuna maendeleo ikiwepo CCM tu...so Mkuu ikiwa kuna mtu analalamikia POSHO basi labda aliomba ukawala kama Ajira lkn kwa kiasi kikubwa watu Tunajitolea Mimi sijui hizo habari za VITI maalum manake baada ya uzi wa NUSRAT naona kila mkoa unaleta Jina la MTU wanaeamini anafaa apewe hiyo nafasi sasa sijui itakuwaje mimi nawashauri watu Pesa iko CCM huku watu tujenge chama ikitokea nafasi MTU ukipata unashukuru sasa Tatizo kubwa watu tumefanya Vyeo vya kiSIASA kama nikuukata
 
Last edited by a moderator:
Sio wote wenye uwezo wa kuzifikia hizo Chanel, mapenzi kwenye chama yasikufanye uwe Kipofu kwa mapungufu yake.

Watu maumivu yalianza kwenye ujio wa ajabu ajabu wa Lowassa, wengi waligumia kwa ndani, wachache tulijitokeza kupinga tukaitwa kila majina mabaya.

Tatizo la Chadema ni kuwa wanaopigania Chama ni wengine na wanaokuja kufaidika ni wengine!

CHADEMA hatujifaidishi

Tunagawana majukumu

Pole sana mkuu....Tangu lini wewe umekuwa chadema?
 
Inakatisha tamaa sana. Kama watu wamekesha wanalinda kura kumbe mawakala ndani hawajala. Huende walilala kwa njaa kura zikaibiwa. Jamani wanaosema hatupo tayari kuchukua nchi wanahoja. Huwezi kufanya uzembe kama huu. Kuhusu hili la wadada wanaoteuliwa kuwa wabunge viti maalum. Kuna taratibu sema zinapuuzwa kwa maslahi ya wakubwa
 
CHADEMA hatujifaidishi

Tunagawana majukumu

Pole sana mkuu....Tangu lini wewe umekuwa chadema?

Mkuu huyo ndg ni Mfuasi wa MTU SLAA sio mfuasi wa Ikitikadi ya Chama wako wengi wamebaki kupiga Miayo....
 
Malalamiko yapo mengi tu
unless hizo taratibu hazikueleweka

la mawakala je ulijua mawakala walikaa njaa?
Hawa nao ndio waliotuuza. Acha walale njaa kabisa, wacha kukaa. Yale maeneo tuliokosa kura ni hawa watu. Wao walikua na njaa hata kabla ya kwenda vituoni hivyo posho walipokea kutoka CCM. Next time Chama kiangalie watu wa kuwaweka kama mawakala. mambo ya kuwachukua wanafunzi yapitwe na wakati>
 
Hizo fedha za Mbowe kwa nini hazikuwa Intercepted na FIU

Tuongee mambo ya msingi sio propaganda za kipuuzi

Kila kitu mnachukulia upuuzi, inawezakana uwezo wa kupambanua na kuchukua constructive critisicim ni sifuri aka mnaenda kidikteta.

Na kwa nini unataka hili lizungumzwe 'kupitia chanel' wakati humu ndipo mlipofanya kampeni? Something fishy!
 
Ninachokidhani mimi ni upungufu tu wa information

Ambazo sio zote utazipata JF

Kuna channel za kichama za kutoa na kupat taarifa

Maswali yako ya msingi lakini huwezi kujibiwa JF
Na hapo ndipo penye tatizo sasa. Siasa ni perception na uwongo ukisemwa sana kwenye siasa mwishowe hugeuka ukweli. Watu wamepiga makelele weee CHADEMA chama cha kikabila, kikanda, kidini na kinaendeshwa kifamilia. Inawezekana huu ni uwongo lakini chama hakikuona haja ya kutoa tamko. Madhara ya imani hii yameonekana katika sehemu mbalimbali nchini. Sakata hili la viti maalum linaendelea kuimarisha hiyo dhana kwamba hiki ni chama cha kujuana, udikteta na ukabila. Kuna ugumu gani kwa chama kutoa ufafanuzi kuhusu taratibu zilizofuatwa? Matokeo yake watatumwa vijana hapa kuja kuporomosha matusi kumbe wapiga kura huko wanaendelea kuamini haya mambo na siku ya siku wanawapiga chini mnabaki kulalamika mmeibiwa. In general kuna udhaifu mkubwa kuhusu upashaji habari sahihi huko CHADEMA na huyo Makene sijui anafanya nini. Rekebisheni hili kama kweli mko siriazi hasa kwenye mambo yenye utata au outright false. Vinginevyo mtaendelea kulalamika kila siku kuwa mnaonewa which is useless and pathetic in politics!
 
Punguza ushabiki mkuu.

Una huu uthibitisho?

tatzo la vijana wa chadema akijitokeza mtu kuusema ukweli mnamshambulia na kumtukana.
Twaweza walitoa utafit wao vijana pasipo kufikiria kuwa kwann wametoa matokeo yale na inakuwaje nyinyi mkaishia kuwashambulia kuwa wanaibeba ccm.

Bavaria kama wewe hukuliona hilo mimi nililiona. Watu walifika tangu saa mbili asubuhi ikafka mpaka saa5 za usiku mtu hajala chochote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom