MHE. STEPHEN M. KAHUMBI: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza ninakiri
aliyosema Waziri wa Fedha kwamba, tumefanya kazi kwa muda mrefu vizuri sana na
hatuna matatizo na ndiyo maana nilikuwa nasitasita kuzungumza wakati wa hotuba yake
ya kwanza. Sasa kilichonistusha mimi ni ile barua kwa sababu nilichangia tarehe 29
tarehe 2 ikaandikwa barua na ukichukua na yale majibu aliyoyajibu Waziri wa Kazi,
nikapewa nakala. Kwanza, mimi sikuwepo kwenye kesi, angepewa nakala aliyehukumu,
Waziri wa Kazi kwamba, hatukuikubali. Lakini maelezo aliyoyatoa Mheshimiwa Waziri,
yameniridhisha. Mimi sikujua yalivyokuwa huko ndani. Kwa hiyo, mimi namwomba
Waziri wa Fedha, tuendelee kama kawaida. (Makofi)
Kwa vile mjadala huu utaendelea bila kukoma na ndugu zetu watetezi wa Ukabila wanaendelea kumwaga "data" nimeamua kuweka manyanga chini na kuwaacha ndugu zetu hawa washinde. Hata hivyo, kwa vile wao wanalijua tatizo hili kwa undani, nimeamua kupendekeza tume* ambayo ije na mapendekezo ya jinsi ya kuondoa ukabila huo TRA. Badala ya wao kuendelea kulalamika na kutugongelea kama msumari hii hoja ya ukabila nina uhakika watakuwa na nia na kusudi la kuamua kuondoa tatizo hilo.
NB* Mamlaka ya kuunda tume nimejipachika na hamruhusiwa kuhoji iweje "mimi" niunde tume. Tunakaa chini sasa tuone nani "atamkoma nyani giledi!"
tutaondoaje ukabila TRA?
AHAHAHAHA POLE SANA MWANA KIJIJI. KWANI BWANA MNYIKA AMEOA TAYARI. NA YEYE AMEOA UCHAGANI. NASI KAZI KWELI KWELI.
MIE NINGEWASHAURI TU KUWA MUWAACHE WAKE ZENU MKAFANYE KAZI TRA. MAANA NAONA WOTE HAMNA AKILI. KWELI KABISA WEWE MWANA KIJIJI NA AKILI YOTE NA HUYU NDUGUYO MHYIKA NA GERRARD MNASHINDWA JIPANGA NA SOLUTION. MIE NITAKUSHAURINI MUANGALIE TENA MUSTAKABALI WA MAISHA YENU HASA KWA KUANGALIA NINI MNASOMA NA NINI MNATAKA KUFANYA.
MNYIKA MWENYIO AMEAMUA KUSOMA SIASA SIJUI ILI AWEZE KUJA KUPANGUA WATU HAPO TRA , WEWE SIJUI NI KITU GANI UMESOMA. ANGALIA. MZEE .
JIPANGE UPYA, MAARIFA TELE.