Ujumbe wa Mwisho wa Mwalimu Nyerere kwa Watanzania

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,486
3,470
Kabla ya kuaga dunia 14 October 1999, mwalimu J.K. Nyerere aliusia yafuatayo:
"Najua Nitakufa, Sitapona Ugonjwa Huu...Nawaacha Watanzania Wangu, Najua Watalia Sana Nami Nitawaombea Kwa Mungu,
Naondoka Nikiwa Nimewaachia Taifa Moja Lenye Umoja Na Amani.Wosia Wangu Kwao Waipende Nchi Yao Kama Wanavyowapenda Mama Zao.Wajue Hawana Nchi Nyingine Zaidi Ya Tanzania."
 
HAKIKA ni wosia murua sana sasa tujitafakari maana tumeachiwa tanzania yenye amani hatuna pa kwenda tukiuharibu muungano tulionao na amani tuliyonayo
 
tatizo aliiacha nchi mikononi mwa wezi.

kwa huu upigaji wa kiwango cha 1.5tr, lazima huko kaburini atakuwa anageukageuka kwa hasira mzee wa watu masikini (rip).
 
Mwambie Mwalimu nchi ameicha mikononi mwa wezi na mafisadi,wauaji ma wenye kujipenda wenyewe, tuna chini ya miezi 24 ya kuendelea kuwa wamoja.
 
Ulimsikia akisema hayo, au umeaminishwa na Mkapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna machache yameongezwa Kuna machache yamepunguzwa "waambieni watanzania ninawapenda"
 
Genius from butiama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…