Ujumbe wa Mwisho wa Mwalimu Nyerere kwa Watanzania

Kabla ya kuaga dunia 14 October 1999, mwalimu J.K. Nyerere aliusia yafuatayo:
"Najua Nitakufa, Sitapona Ugonjwa Huu...Nawaacha Watanzania Wangu, Najua Watalia Sana Nami Nitawaombea Kwa Mungu,
Naondoka Nikiwa Nimewaachia Taifa Moja Lenye Umoja Na Amani.Wosia Wangu Kwao Waipende Nchi Yao Kama Wanavyowapenda Mama Zao.Wajue Hawana Nchi Nyingine Zaidi Ya Tanzania."
Mungu akupe pumziko la milele kazi umeifanya Baba yetu RIP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom