Baada ya kugundua kuwa Kiini Kikuu cha Machafuko Kenya ni Ukabila, niseme tu Asante kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Rest In Peace Babu Julius Kambarage Nyerere na Asante kwa Zawadi yako Kuu na ya Kipekee kwa Watanzania wote kwa Kutuunganisha kuwa na Umoja, Upendo na kutokuwa Wakabila huku ukitumia Silaha Kuu Tatu za Lugha ya Kiswahili Kuzungumzia Kote, Utamaduni wa Utani kwa Makabila karibia yote ya Tanzania na Kuwachanganya Watanzania Kimaeneo ambako Mtu wa Mwanza ( Msukuma ) alikuwa akipelekwa Lindi ( kwa Wamwera ) kuishi na Kufanya Kazi mengineyo pia.

GENTAMYCINE nawaomba wana JamiiForums wote hapa popote pale mlipo Mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa Watanzania Zawadi ya Malaika wake Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetujengea Misingi Imara ambayo inatufanya Watanzania tupendane, tuheshimiane, tuvumiliane na kubwa zaidi tuwe na hii Amani ya Kutukuka tuliyonayo hadi hii Leo.

Namuombea pia Uongozi Mwema Mheshimiwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aendeleze ile Misingi yote ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Kutunza Tunu Kuu za Tanzania na Watanzania za Amani, Upendo na Umoja.

Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki JamiiForums
 
Tanzania hakuna amani bali kuna utulivu tu, adui wa Tanzania ni Ccm tu.

Siku pakilipuka ndio mtapata majibu.
 
Mtoa mada leo nipo NYUMA yako.
 
Watanzania sio wamoja ila Watanganyika ndio Nyerere aliwafanya kuwa wamoja. Jua kutofautisha kati ya Watanganyika na Wazanzibar.

Nyerere alishindwa kuwafanya Watanzania kuwa wamoja mpaka sasa imeshindikana kutengeneza Tanzania moja. Kuna Uzanzibar na Utanganyika
 
Tanzania hakuna amani bali kuna utulivu tu, adui wa Tanzania ni Ccm tu.

Siku pakilipuka ndio mtapata majibu.
Inakuwaje ( Kulikoni ) unayeniita Kutwa hapa JamiiForums kuwa ni Mental Case huku ukiwa Hunipendi na Hunikubali lakini 24/7 unapenda Kuchangia Threads zangu mbalimbali hapa JamiiForums?

Mimi nilidhani GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nikiwa Mental Case kama uniitavyo Wewe na Wenzako baadhi basi hata na Threads zangu nazo zinakuwa nazo zina Mental Case au?

Kuna Watu huwa mnanishangaza mno.
 
Watanzania sio wamoja ila Watanganyika ndio Nyerere aliwafanya kuwa wamoja. Jua kutofautisha kati ya Watanganyika na Wazanzibar.

Nyerere alishindwa kuwafanya Watanzania kuwa wamoja mpaka sasa imeshindikana kutengeneza Tanzania moja. Kuna Uzanzibar na Utanganyika
Hata hiyo Tanganyika Ccm ndio wanajiona wana haki kuliko Watanganyika wengine, hatuko wamoja, ni swala muda tu tutaheshimiana.
 
Inakuwaje ( Kulikoni ) unayeniita Kutwa hapa JamiiForums kuwa ni Mental Case huku ukiwa Hunipendi na Hunikubali lakini 24/7 unapenda Kuchangia Threads zangu mbalimbali hapa JamiiForums?

Mimi nilidhani nikiwa Mental Case kama uniitavyo basi hata na Threads zangu nazo zinakuwa nazo zina Mental Case au?

Kuna Watu huwa mnanishangaza mno.
Vichaa huwaga wanafurahisha labda anasoma thread zako kujifurahisha tu nothing serious
 
Hata hiyo Tanganyika Ccm ndio wanajiona wana haki kuliko Watanganyika wengine, hatuko wamoja, ni swala muda tu tutaheshimiana.
Maranyingi ukimya na uoga unaweza kuleta utulivu sio amani siku hivyo vitu viwili vikitoweka ni machafuko kilichopo nchini ni ukimya na uoga unaozalisha utulivu sio amani.
 
Ngoja nisubili kifuatacho ITV.😀😀
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Rest In Peace Babu Julius Kambarage Nyerere na Asante kwa Zawadi yako Kuu na ya Kipekee kwa Watanzania wote kwa Kutuunganisha kuwa na Umoja, Upendo na kutokuwa Wakabila huku ukitumia Silaha Kuu Tatu za Lugha ya Kiswahili Kuzungumzia Kote, Utamaduni wa Utani kwa Makabila karibia yote ya Tanzania na Kuwachanganya Watanzania Kimaeneo ambako Mtu wa Mwanza ( Msukuma ) alikuwa akipelekwa Lindi ( kwa Wamwera ) kuishi na Kufanya Kazi mengineyo pia.

GENTAMYCINE nawaomba wana JamiiForums wote hapa popote pale mlipo Mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa Watanzania Zawadi ya Malaika wake Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetujengea Misingi Imara ambayo inatufanya Watanzania tupendane, tuheshimiane, tuvumiliane na kubwa zaidi tuwe na hii Amani ya Kutukuka tuliyonayo hadi hii Leo.

Namuombea pia Uongozi Mwema Mheshimiwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aendeleze ile Misingi yote ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Kutunza Tunu Kuu za Tanzania na Watanzania za Amani, Upendo na Umoja.

Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki JamiiForums
Kiini Kikuu cha Machafuko Kenya ni Ukabila, niseme Kwa Tanganyika kiini kikubwa cha machafuko kitaletwa na Muungano.

Watu kutoka upande mmoja kwenda kuiza mali za wengine, kisingizio Muungano.

Muungano hauna dhamani ya Raslimali zetu.
 
Hata hiyo Tanganyika Ccm ndio wanajiona wana haki kuliko Watanganyika wengine, hatuko wamoja, ni swala muda tu tutaheshimiana.
Inakuwaje uko busy Kuchangia Thread ya GENTAMYCINE ambaye Kutwa unamuita Mental Case hapa JamiiForums?

Mental Case anaweza kuanzisha Thread ambayo itakufanya uwe busy kama hivi Kuichangia?

Asante Mwenyezi Mungu kwa Tunu zako.
 
Attachments

  • 1180F315-A24F-4E87-AC68-D11D93D759B3.jpeg
    1180F315-A24F-4E87-AC68-D11D93D759B3.jpeg
    34.6 KB · Views: 1
Namkumbuka 1978 nilifaulu na kwenda Old Moshi ambapo nilikutana na karibu makabila yote ya Tz, tuliishi kama ndugu bila kubaguana. Asante baba wa Taifa.
Hakika Mkuu. Nyerere ametuacha pazuri tofauti na Majirani zetu wengi katika Ukanda Wetu.
 
Back
Top Bottom