Kama wanalipwa kidogo waache kazi basi vile lengo la mfanyabiashara(hata ungekuwa ni wewe) ni kuongeza faida na kupunguza matumizi
Mfanyabiashara kweli anataka kupata faida kutokana na biashara yake; lakini faida hiyo isiwe kwa kuwakamua damu wafanyakazi!!! Ukiwabana sana hata ufanisi wap kazini utapungua na kuathiri faida yako unayoipata!! You just have to strike a balance you do not have to have super profits!!